Wakuu mdogo wenu nina used laptop hp hapa in clean condition naiuza yenye sepecifaication zifuatazo
Intel R 1 . 4 .6 ghz 4gb , 64 bit porcessor,na inapatikana kwa 350 k ila kua maelewano
picha...
Tunatoa huduma za usafi wa majumbani, maofisini, mashuleni, mabasi, viwandani nk.
Pia tunafua nguo kwa kukufata ulipo na gharama nafuu.
Tupigie sasa 0678208789
Au waweza fika ofisini kwetu...
Opportunity to Invest & Earn(Increase/widen your portfolio base)in our leather products production Company(Industry)
-Jina la kampuni ni Pham Designs
-Habari wanandugu,kama kichwa kinavyojieleza...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani). Mita 200 kutoka standi ya migombani
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet. Ina umeme na maji ya DAWASCO
Gari...
Kiwanja kipo mjimwema mtaa wa kibugumo mita 300 toka ilipo sheli ya puma kiwanja kina ukubwa wa mita 35×17 kiwanja nyuma kina fensi na ubavuni pia tayari fensi nusu Bei ml 16 ofa inasikilizwa...
Habari wadau kama unajua Showroom ambayo naweza kuchukua gari na nikailipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka mmoja au miwili naomba mnijuze jamani...maana nahitaji gari ila sina pesa timilifu.
GENERATOR AND AIR COMPRESSOR SOLUTION
We dealing with:-
■Generator
☆Selling generator Used and New
☆Preventive and Breakdown maintenances
☆Generator installation
■Air Compressor ((Selling used and...
Brand: Toyota IST
Year of Manufacture: 2005
Engine capacity: cc 1290
Transmission: Automatic
Price: 6M
Location: Dar es salaam
Mwenye gari anahitaji pesa ya haraka na hakuna udalali. Unaweza...
Karibuni TABORA wilaya ya URAMBO
Ujipatie asali mbichi safi kabisa....lita moja tsh7000/= gharama ya usafiri na kibali juu yako,
Ukitaka nikuletee mzigo ukapokee kwenye ofisi za mabasi...
Lengo langu ni kupata hayo makopo madogo ya gas ya Butane.
Ila nmeulizia pia majiko sababu ninaamini nikipata sehemu wanayouza hayo majiko huenda wakawa wanauza pia hizo gas au wakawa...
Habari wakuu...
Natafuta paka breeds kubwa na wenye manyoya kwa ajili ya kufuga. Ambaye anajua namna gani nitawapata naomba anijulishe
Sent using Jamii Forums mobile app