Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iphone Xs Max Double line 256Gb Face ID [emoji777] True tone [emoji736] Tsh 830,000/= Dar es salaam 0784125895
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habari, Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni Coca, pepsi, SBL na TBL nahitaji. Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wajenzi Dodoma mjini na Mwembe Yanga Dar es Salaam - 0623 071 611
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wana JF. Ulanga mweupe/mweusi au kwa jina la kitaalamu unaitwa muscovite unapatika kwa wingi wapi hapa Tz. mwenye info anipe pls
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna "kamgahawa" nafungua eneo ya gongo la mboto Nina uhitaji wa chef, vigezo; 1. Awe kapitia mafunzo rasmi (vyeti) 2. Awe na experience isiyopungua miaka mitatu 3. (Na ya Msingi) Awe na maono...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Umechoka kutafuta nyumba bora inayoendana na pesa yako, Umechoka kutafuta shamba lenye rutuba Umechoka kutafuta nyumba nzuri ya kununua, Hupati frame nzuri ya biashara hapa jijini mbeya Ndugu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Epuka garama za mafuta Kwakutumia air fryer Mzgo tunafunga from china Kufika tz ni mwez mmoja Air-fryer moja utalipia 45,000 Nauli ya meli ni inarange 20,000-30,000 Garama za usafir ni baada...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya wale wadada wa mjini hilo hapo gauni zuri la mtoko/sherehe, Hili gauni ni mkataba Og naliuza kwa bei ya njaa only 50k limetengenezwa kwa material bora. Ziko pair 2 Mawasiliano 0654757823
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 1.3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello! Kindly please [emoji1317] naomba kama mtu ana connection ya Land Saveyour aliesajiliwa na bodi ya masaveyor anisaidie mawasiliano yake. My phone number 0692275216...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15 Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥 ⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Moja kati ya nyenzo zinazowanyanyua watu wengi na kuwa na utajiri basi ni miradi ya kupangisha nyumba(Real estate), nichukue nafasi hii kuwaonyesha michoro ya 3d ya nyumba za kupanga, zikiwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
#ViwanjaVinauzwa 📍Vipo Km 3 kutoka Round about ya Goba Njia nne. 461 SQM - 7,000,000 477 SQM - 7,500,000 480 SQM - 7,500,000 598 SQM - 9,000,000 656 SQM - 10,000,000 679 SQM - 10,500,000 728 SQM -...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
ok jamani wadau natangaza, kampuni ya quality motors ltd ambayo ndio walikuwa magent wa pikipiki za honda Tanzania, wamesimama kibiashara mwaka 2019. pikipiki za honda hazipatikani sokoni kwasasa...
2 Reactions
634 Replies
236K Views
Kampuni haijawahi kufanya kazi. Imefunguliwa mwaka 2019. 0712464478
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiwanja kiko kwa MOROMBO 40 KWA 35, Bei 28m. Kukiona just ni-PM
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Kama kuna mtu anafremu au kuna dalali anayofrem dar es salam maeneo yafuatayo MBEZI,KIMARA, MAGOMENI, MAKUMBUSHO Anitafute tuweze kuwasiliana kwa number 0675128093
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Hii ni bei ya belo za mitumba grade one. Tunapatikana keko Tunatuma Tanzania nzima(Tc apply) Piga au tuma sms kwenda namba 0713278725 Grade2 pia ukihitaji zinapatikana 1:Mixer dress kg45 bei...
6 Reactions
17 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…