Nauza kiwanja Arusha, bei nafuu!

Nauza kiwanja Arusha, bei nafuu!

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,560
Kiwanja kiko kwa MOROMBO 40 KWA 35, Bei 28m. Kukiona just ni-PM
 
Hiyo unayoita bei nafuu mkuu ni balaa kwa wengine. Ngoja waje madon wakate ofa hapa chap. Vile vile sema kabisa kama kina hati iki kuepuka maswali mengine na kama kinafikika kwa gari kirahisi au kama kinafaa zaidi kwa biashara n.k
 
kwa mrombo kumi kwa 15 ni ml 4 hebu gawanya tuone huo unafuu wako.
 
Unawauzia watalii kwa kiswali. Wa swahili tunanunua nyumba kabisa kwa hiyo bei kwa mrombo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom