Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea. Nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Sim bado mpya kabisa Haijatumika hata chembe Ni dual Line moja tigo, nyingine yoyote Ipo Manzese Tip top Price 70 Internet yake ni 4G Sorry jamani ni A24 heading imenishinda ku edit
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji frame kwa ajili ya nguo za kike bajeti 150,000-200,000 maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho iwe inatizama barabarani isiwe ndani wala ubavuni tuwasiliane...
1 Reactions
3 Replies
974 Views
ZILISHAUZWA
1 Reactions
5 Replies
812 Views
Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iphone Xs Max Double line Gb 256G[emoji3541] True tone [emoji736] Face ID [emoji777] No dent No scratch [emoji626] Dar es salaam Tsh 830,000/= [emoji3513] 0784125895
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Najua kuna macopy mengi ya kichina ya iphone na mengi nayajua vizur tuu mm naulizia copy ya iphone ambayo ipo km iphone hadi mfumo wa ios inayo na siyo android yaani kila kitu ifanane na iphone km...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
subaru legacy price : 7m location: DSM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tecno Spark 5 Inauzwa Condition: Used/ looking new Ram 2GB Rom 32GB Front Camera 8MP Rear Camera 13MP Battery 5000 mAh Bei 230,000 Mawasiliano 0768776716
1 Reactions
2 Replies
866 Views
ITEL TV DOUBLE GLASS 32 INCH INAUZWA Hali yake: Mpya Screen Size 32 2 HDMI Port 2 USB Port VGA Port AV COAX Port RF Port Earphones jack Bei 280,000 Mawasiliano: 0768776716
1 Reactions
1 Replies
997 Views
Eneo la kujenga kituo cha mafuta, hotel au Ukumbi wa Starehe linauzwa. Location: Kahama Upana: Miter 70 Urefu Miter 100 Sawa na Square miter 7,000 Bei ya kuuza Mil.125 Tsh. Eneo linayo number ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Infinix S5 Pro Ram 4, Storage 64, Bettry 1000 (Good condition) Bei 270,000 | Mbagala Cont: 0628674204
1 Reactions
1 Replies
562 Views
Kama una pikipiki used na uko tayari kuuza kwa laki saba nicheki 0766098835
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kutunga hadithi fupi fupi kwa ajili ya watoto. Ni hadithi ya maneno 1000 hadi 2000. Kwa wenye huo ujuzi anicheki PM tufanye maelewano.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Uchenjuaji wa madini hulenga kutenganisha madini kapi(gangue) kutoka kwenye mbare(Ore). Lengo la uchenjuaji ni kutenganisha madini katika mazao mawili madini yenye thamani(Consetrate) na madini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung Smart TV inch 40 Free Local Tv stations apps: YouTube, Netflix, google, Facebook, Amazon, Prime and more Highlights Wi-Fi, Ethernet, Screen Mirroring Technology Full Web Browser 2 x...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Hello GT.Nina kichanja flat bed trailer kichanja kinauzwa kipo ARUSHA Mjini bei ni 17 Milioni Maongezi yapo
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Samsung qled series 8 curved smart tv inch 65 ilipata hitilafu wakati inasafirishwa kutoka s.A ikatoa mstari kama inavyoonekana.. Ila unatumia fresh kabisa ina sauti hauhitaji subwoofer.. Tv ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule. Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200. Mzigo upo Dar es Salaam. Ni kuni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom