Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mashine ndogo za kufulia nguo za watoto na wakubwa pia Ni semi automatic machines Yoko Jf brands kutoka China Zina kg 5 Zinatumia umeme mdogo Zinahamishika na Rahisi kutumia Zinafua,kusuuza na...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Afri Power Roofing ni Wataalamu wa kuezeka/Kupaua nyumba waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa. Our Services:- [emoji828]Tunaezeka/kupaua nyumba aina zote kwa uezekaji wa kisasa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya leo, Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa Budget ni Million 3 mpaka 4 Asanteni.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana Jamiiforums. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa jinsi car remote ( yupiteru VE-E69R) inavyo fanya kazi, naomba kujuzwa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NAUZA MEZA NA VITI VYA MBAO meza 3 za chakula Meza 2 kubwa kwaajiri ya counter ya mhagawa Kuna viti 11 vipo fresh ni bado vipya vilitengenezwa kwaajiri ya mgahawa sasa vinauzwa kwa dharula Vyote...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu. Nauza Bajaj TVS, ipo Mbauda Arusha. Ipo katika Hali njema. Bei 2.3m. Mazungumzo kidogo yapo Kwa mteja atakayekuwa serious. Simu 0776655978 au 0656388678
2 Reactions
7 Replies
892 Views
Naomba kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatua tofali kwa mkono nipo tanga mjini nimesikia zidapatikana sido sijui ni kweli naitaji yenye uwezo wa kutoa tofali ya nnchi 8
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja. Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure! Tunapatikana...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
350,000Tsh 1 year warranty Full HD Inasoma flash pamoja na external harddrives Unaweza ukaifanya kama monitor ya computer Unapewa na wall bracket ukinunua Piga/Whatsapp 0753038470
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Kama kichwa cha habari kinavosema, nina kreti 10 hap za soda na chupaa zake. Bei ya kreti moja na chupaa zake ni tsh 3500/= Nipigie 0672037238 nkuuzie
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Ninahitaji gari aina ya Nissan Hard body isiyo na turbo. Iwe na hali nzuri bajeti 12m.
1 Reactions
3 Replies
684 Views
Naulizia mashine ya kuchanganyia au kupikia ubuyu zinapatikana kweli?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Here some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
overlock machine - millioni moja (1,000,000) Sewing machine - millioni moja (1,000,000) Button lock machine -millioni 2(2,000,000) Button machine - mjllion 2 (2,000,000) Kama mnavyoona kwenye...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wakuu NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali. Mwenye nayo anicheck- PM
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Property international limited Inajihusisha na uuzaji wa viwanja vilolivyopimwa na Barbara ndan ya miradi yetu... Miradi hiyo ipo Kigambon Mlandizi Bagamoyo Mwenye uhitaji, Contact:0652066570...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Gari aina ya Rav 4 miss Tanzania inauzwa. Ipo Mbeya. Namba DCV. Imesimama sana. Mileage: 177000 Sababu za kuuza: Nimebadilisha gari Mmiliki: Mimi mwenyewe. Bei 16m. Mawasiliano : 0710613913 |...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu na Wadau wanaojua thamani ya hii kitu. Naiuza kwa bei rafiki Standalone Server Cabinet With top mounted Colling Fan, Naiuza ikiwa pamoja na Sisco Firewalls and Sisco Switch. Nauza baada ya...
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Habari za muda huu ladies and gentlemen? nauza kiwanja Bunju A Dar es salaam. size ya kiwanja ni 30*30 hatua za miguu. bei ni 7mil net. karibu Kwa mazungumzo 0713096076
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…