Natafuta Nyumba Ya Kupanga Dar Es salaam.
VIGEZO:
1.Iwe Maeneo ya Magomeni Mapipa,Mikumi,Kanisani au Usalama
2.Nyumba Yenye Ngome(Iliyondani Ya Geti)
3.Chumba...
Habari Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ ,Ninahitaji Msaada wa kupata uzoefu katika kuendesha gari za Manual , nilienda VETA lakn bado sina uzoefu nahitaji kupata uzoefu ili niombe kazi...
Habari zenu ndugu zangu wa jf poleni na majukumu ya hapa na pale.. Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu mifumo yote ya bomba katika nyumba ikiwemo mifumo ya maji safi na maji taka drainage...
Poverty in my opinion is lack of the ability to obtain the basic needs of life when we need them.It also lack of assurance or confidence of acquiring the basic needs of life in the near future...
Mm ni Mjasiriamali wa kuonyesha mpira ila biashara imekua ngumu baada ya waonyeshaji kuwa wengi. Sasa naomba anayehitaji Dishi DSTV anipe dishi la Azam anichek 0788222700.
Wanabodi kama kuna mtu anauza king'amuzi Cha Azam anitafute nahitaji ving'amuzi sita na Azamu wenyewe wanataka ninunue na dish wakati shida yangu sio dish. 0715200767
Kama una benchi zuri la mbao (lisiwe la chuma na lisiwe na sehemu ya kuegemea) linalotosha kukaa mpaka watu wanne njoo PM tufanye biashara.
Kama wewe ni fundi seremala na unaweza kuniahidi...
NEW UPDATES:
TAWA WATER PROFFESIONAL
Ghalama za kuchimba kisima na Underground Water Survey.
Dar Es salaam: kuchimba ni Tshs 80000 kwa mita moja unawekewa bomba na pampu
Dar Es salaam Survey...
Habari zenu
Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv
Sifa zake:
1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi
2. Ni kubwa
3. Aina ya Bosch
4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji
5...
Kwa ambaye atahitaji huduma yoyote hapo basi Usisite kunipigia , Huduma zoote hapo zinapatikana hivyo kwa atakae kua Tayari napatikana Masaa yote yale kikubwa ni kua Sereous , WELCOME CUSTOMER...
Kwa Wakazi wa Dar es Salaam; Hii si ya kukosa.
Fanya Booking ya Huduma ya Usafi au Urembo ukiwa Nyumbani kwako ama popote ulipo, na sisi tutakufuata hapo ulipo.
Popote ulipo, nasi Tupo. Hakuna...
Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua!
Isiwe...
Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.
1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.
2...
Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and...
Tunahitaji kutoa msaada kituo Cha watoto yatima ndani ya jiji la dar es salaam..mwenye kujua kituo kilichopo ndani ya dar es saalam na sio mbali na mjini au kisiwe mikoani yaan rahisi kufikika...
Habari wana Jamvi,
Mimi ni mmiliki wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha, kiwanja kipo Buhongwa centre na kimepimwa, kina ukubwa wa 40 kwa 30.
Bei mil.6.5
N.B Hakina dalali.
0687259290