Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ukiwa na swali nicheki kwa namba 0712823601,nimeattach ramani ya kiwanja kilivokaa,huduma ya umeme na maji inapatikana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau amani iwe Nanyi. Plot moshi inauzwa ipo Shia mjohoroni mbele kama una tokea kiborloni. Ukubwa: 1ekari 150mita kutoka barabara kuu ya Moshi~Dar BEI:50ml. hakuna udalali
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mmiliki wa Kiwanja kilichopo Isaka kahama Barabara ya nne, Kiwanja ni kikubwa cha kutosha hakijapimwa ila kipo kwenye ramani hakina mashaka kuna vitu vifuatavyo kwenye kiwanja kisima cha...
1 Reactions
0 Replies
922 Views
Wadau habarini za asubuh. Nauza maeneo yangu yaliyoko dege jiran na "magorofa ya dege" kigambon. Viko viwili sehem moja na kila kimoja kina ukubwa wa mita 23*25. Viko kama mita 60 kutoka barabaran...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 & #30...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kiwanja kiko sehemu nzuri sana na bei ni nzuri square meter 2000 . Karibuni sana.
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Nauza kiwanja eneo la kibada Block 7,kina ukubwa wa squremeter 1350 kimepakana na eneo la NSSF,Kimepimwa na kina hati,anae hitaji tafadhali ani PM au awasiliane kwa namba 0654274004.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Listing by: Bestates Properties +255786157788 Tunapenda kuwatangazia wananchi wote raia wa Tanzania, mwendelezo wa uuzaji viwanja kwa bei nafuu kwa kuzingatia viwango vya serikali. Hati...
2 Reactions
20 Replies
9K Views
BEI: 300,000,000/- Maongezi yapo kwa mhitaji MAHALI:TABATA RELINI(karibu na st.Mary chuo cha ualimu) UKUBWA: SQUARE M 1600 UHALALI:KINA HATI AMBAYO INALIPIWA KILA MWAKA Mhitaji anaweza kuja PM...
1 Reactions
1 Replies
794 Views
Ukubwa wake ni 30×20 kiko barabarani umeme maji vipo. Bei mil 12. Mawasiliano
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo linauzwa mbezi beach barabara ya white sand jirani na shule ya English medium ya Elite eneo lina fance na nyumba ya nyumba vitatu Umeme na maji tayari limepimwa na lina hati ukubwa 4500sq m...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Ukubwa 32*32 Kipo Dar es salaam eneo la kinyerezi_Kifuru(hali ya hewa) Umeme na barabara vipo Bei: Tsh.15million maelewano yapo. Dalali haitajiki Mawasiliano: +255712264469...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kiwanja kinauzwa Mbezi kwa Msumi. Ukubwa ni 20 kwa 20. Bei, kinaanzia milioni 5 (kwa mnunuaji mazungumzo yatazingatiwa) Kiwanja kipo eneo tambarare na kipo jirani kabisa na barabara,pia...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Karibuni nauza kiwanja Mikocheni "B" Kina ukubwa Wa 750SQM BEI 400M Karibuni sana 0715011022
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa madale 2450sqm kwa Tsh 40 milioni.. Pamejengeka vizuri sana na Huduma zote muhimu zipo Bei haina maongezi Call 0689315582
0 Reactions
0 Replies
794 Views
MAHALI: Kisarawe Km 35 toka Airport UKUBWA: Heka 17 SIFA: Lina Hati , kuna Nyumba kubwa Pia Kuna Mazao Kama Mitiki, Michungwa,Mikaratusi Bei: Tsh Milioni 800 aliyesirias Anakaribishwa kuliona Pi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wa ndugu Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Viwanja vipo Mkuranga mjini.Ni dakika30 kutoka Mbagala,na nauli ni elf moja tu kwa daladala,na ni kama km30 au zaidi kidogo kutoka Mbagala. Eneo lipo mita500 kutoka barabara kuu ya lami.Eneo ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 70m*70m . Bei 13 ml. 0753101293
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna viwanja vinauzwa Chanika zingiziwa 20x20 vipo eneo zuri mkabala na zahanati ya serikali kiasi kwamba vinafaa hata kujenga kitega uchumi kwa wanaoelewa fursa zipatikanazo maene jirani na...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Back
Top Bottom