Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo cha chenga chenga (pellet mashine). mifugo kama (Kuku/samaki&sungura) ✓Inatuma umeme wa majumbani. ✓Inauwezo wa kuzalisha kilo 150 Kwa lisaa ✓Hp...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kuwasiliana na kampuni zilizo sajiliwa na zenye ofisi Tanzania, ambazo zina uwezo na uzoefu wa kuagiza electrical, mechanical na instrumentation equipment and parts. Kampuni iwe na...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Wana bodi habari, kama mjuavyo tuko mbioni kuelekea ktk mavuno ya nafaka mbalimbali, mwaka jana nilijaribu kuhifadhi mahindi ktk viroba vya kunga njaa! ilikua ni viroba viwili tu kwa ajili ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Maximum resolution 1080P.......light source LED.....Bult - in dual speaker,.....Aspect Ratio 4:3/16:9.......Projection Size 34 - 180 inchies....Connector suport.HDMI,USB,VGA,AV,TF,AudioNi brand...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Pangani Vipo jirani na machinjio ya soko la Loliondo Maji na umeme upo na kwenda kuona ni Bure Kila siku Tupigie 0620175964
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu nyote. Kama mada inajielezea, naombeni wanajamvi mnisaidie sehemu ya kupata mashine ya kukata mabox na box boards kwa ajili ya keki. Nipo Mkoa wa Geita takriban mwaka na zaidi sasa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF Mimi ni mjasiliamali kwa ujumla ninaemiliki kitalu cha GYPSUM POWDER NA GYPSUM STONES maeneo ya Bendera Mkomazi karibu Bwiko Barabara ya kutoka Dar. Gypsum powder yetu ni sulphate...
2 Reactions
1 Replies
917 Views
Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza HP Slim Laptop Core i7 3rd Gen HDD: 260GB 8GB RAM Backlight Keyboard; Keys 7, L, T, 2 , 5 hazifanyi kazi. Case yake ya nje imechakaa[emoji28] Battery inakaa 1hr na dk 40 Inachaji vizuri...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni nzuri bado mpya kabisa 16gb Fingerprint safi kabisa Itazame kwenye picha Bei ni 140,000/= Tsh Call/txt 0710898752 DSM TZ
0 Reactions
5 Replies
827 Views
Tunawatangazia bidha zetu za Gypsum powder yenye ubora wa hali ya juu, hii ni kwa ajili ya kutengeneza mikanda ya gypsum na chaki, tupo Kamata Dar es salaam. Simu 0653020784
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kazi bora hufanywa na mafundi bora.Tunajivunia kwa ubora wa kazi zetu kwa wateja wote tuliofanya nao kazi na hii ni moja ya sifa inayotufanya tuzidi kufanya bora zaidi. Tunafanya kazi zifuatazo...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Kama wewe ni programmer mzuri wa native mobile apps. Kindly check me inbox. (Serious People. Only).
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Habari wanajukwaa Nahitaji mbegu ya kuchi nipo dar es salaam tuwasiiliane 0758636908
1 Reactions
1 Replies
596 Views
TAWA WATER PROFFESIONAL Hicho kisima kinachimbwa kwa mteja wetu maeneo ya Goba, Eneo lina nyumba pamoja na eneo lingine kwa ajili ya kulima mboga mboga. Tulimfanyia Underground water Survey kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
#Nuza cm INFINIX HOT 10 LITE GB32 BATTERY 5000 mA #BEI 190K #CM IMENYOOKA IPO FRESH HAINA SHDA YOYOTE WALA #CRACKS #Nko DODOMA TOWN..
2 Reactions
3 Replies
752 Views
Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku na ng'ombe na nguruwe ukihataji kujengewa banda lolote la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wadau, Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa majina naitwa James Emmanuel nina umri wa 27 nimehitumu chuo kikuu mwaka jana mwezi wa 8, Hivyo kulingana na janga la ukosefu wa ajira nimeamua kujiajiri kupitia biashara ya Mchele. Mchele...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Samsung galaxy M31 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera kali mno: 64 megapixel main, 32 megapixel front Battery: 6000mAh (inakaa na charge mpaka inakera) Coluor: Dark Blue Condition: Excelent/Almost New...
1 Reactions
2 Replies
967 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…