Wakuu nataka kununua mashine ya cherehani ya kushona ya miguu Na mashine ya overlock....nikauliza duka moja Arusha wakanambia wapo Na za India kwamba ni nzuri...kwasababu mi si mtaalamu mafundi...
Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki.
Nanunua trei 100 kila wiki.
Bei isizidi 6000/= kwa trei moja.
Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112.
Email...
Naam!
Kuna wakati ulishafikia hatua ukaona laptop yako ni nzito? Sio Ram tu inaweza pelekea laptop yako kuwa faster! Hata Hard disk (HDD) inapelekea laptop yako kuwa nzito pia, Kuna hii kitu...
Je umeshawahi kujiuliza ni kivipi wateja walio mali na duka lako wanaweza kupata bidhaa zako ?
Dunia ya sasa imeamia kiganjani. wateja wako hawana haja ya kuja dukani kwako tena. weka duka lako...
Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure.
Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili...
Mashine ya kusafishia MABUSATI( VACUUM CLEANER)
Ina sifa zifuatazo.
1.Ina safisha mita 1000 kwa lisaa.
2.inatumia kiwango kidogo cha umeme.
3.ina waya mrefu wa mita 20.
4.Ni automatic ( ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.