Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure.
Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili...
Mashine ya kusafishia MABUSATI( VACUUM CLEANER)
Ina sifa zifuatazo.
1.Ina safisha mita 1000 kwa lisaa.
2.inatumia kiwango kidogo cha umeme.
3.ina waya mrefu wa mita 20.
4.Ni automatic ( ina...
Habari zenu wanajukwaa,
Mashine ya kuchana mbao inauzwa ina motor ya 15hp ipo vizuri bei imepungua kwasasa ni (2.5M Fixed) ipo Mbezi Kifuru.(Mazungumzo yapo)
Ukinunua mashine umeme wa 3 phase...
Natumai mu wa wazma wa afya njema kabisa.
Kila kukicha makanisa mbalimbali yanaanzishwa tena yenye kujipambanua kuwa yanawafanya vilema wa miguu kutembea na wengi wa waumini hao nimegundua hawana...
Kwema!
Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/=
PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku...
Habari,
[emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters
[emoji298] Bei ni Mil 58
[emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma
[emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati...
Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs..
mawasiliano: 0713096076
Eneo: igoma mwanza
Aina ya Pikipiki: SAN LG
ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS
HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO.
USAJILI: MC 324 CBT...
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na sebule, choo kipo kwa nje..ukubwa wa kiwanja 20 kwa 20 mita .umeme upo na maji tumeshalipia na mda c mrefu yatakuwepo
Bei 19m
Maongezi zaidi au kuja kuona...
Bajaji safi iliyonyooka, haina kipengele chochote inauzwa sh milioni mbili na laki mbili. Namba C haina tatizo lolote, engine ipo fresh kabisa.
Ipo Tabata Kinyerezi, njoo na fundi wako uchukue...