Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali...
Nauza kiwanja kwa bei nafuu sana
kipo maeneo ya chanika standi daresalaam kina urefu wa nusu hekari. Hakina mgogoro, kina hati miliki zote kipo mjini kabsa namba zangu 0712268339
Karibu...
Nina viwanja 4 vyote vimepimwa kama Ramani inavyo onyesha katika picha
Baadhi ya viwanja vina mabanda na kingine kina banda na kisima hivyo ni wewe kuchagua Hata ukitaka kimoja njoo uchukue na bei...
Habarini wadau, kuna eneo ambalo ni zuri kwa makazi maeneo ya dege kigamboni. Ni ukubwa wa mita 25 kwa 25. Bei ni milion tatu. Mwenye uhitaji serious anichek 0764503076. Umeme na maji yapo maeneo...
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8...
Viwaja vinauzwa kibamba,mbezi,chanika kibaha,mbagara,tabata,bunju, bei kuanzia laki nane hatua 25 kwa 25 mawasiliano 0717342414/0764816096/0788492588
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni...
Viwanja vinauzwa maeneo ya Kihalaka Mapinga. Eneo Nizuri sana kilometa 5 kutoka barabara ya lami. Ukubwa vyote ni sqm 4100 kuna banda la mita 30x 10, vyumba ya vyumba 3, store, jiko la nje, kisima...
Nauza viwanja 4 vimepimwa vipo Mapinga eneo la kiharaka kimoja kina nyumba ya vyumba 3 kuna umeme wa Tanesco na kuna kisima kimechimbwa.Nyumba ya pili ina vyumba vi nne vya kupangisha.
Kama...
Kiwanja maeneo ya Bunju- Mingoi.
Kipo eneo zuri tambarare.
urefu hatua 65 upana hatua 40.
kipo km 4 kutoka barabara ya Bagamoyo
umeme haupo mbali.
Bei ni milioni kumi na mbili. 7,000,000/=
maelezo...
Kama ww bado hujapata kiwanja kwaajili ya kuandaa makaz yako hii siyo ya kukosa,
Jipatie sasa kiwanja ndan ya jiji la dar Kwa bei ya sawa na bure,,
Ni chatembo mwandege nyuma ya kiwanda cha...
Kiwanja cha makazi na biashara kinauzwa.kipo dodoma kisasa B center.kina mita za mraba 846.kina hati.na kibali cha ujenzi.tayari kina msingi mkubwa wa mawe tupu.Ni eneo hot cake kwa wanaojua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.