Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nyumba ya kupanga yenye uzio wa ukuta,umeme ,maji na vyumba vitatu vyote master bed room inapangishwa Boma Ngombe karibu na chuo cha ufundi st Joseph mazungumzo yapo Piha namba 0715407588
0 Reactions
5 Replies
813 Views
Habari naitwa Josephat Charles.karibu kwenye kampuni yangu people electrical Tanzania sale center. makao makuu ya ofisi ni china. ila tuna station office hapa Dar es Salaam kariakoo. Swahili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rom 4GB RAM 64 GB Batry 5000mh Conditions 95% New. Mawasilion inbox.
0 Reactions
5 Replies
856 Views
Wadau ninauza pump hii hapa chini, Pump ni imara sana aina ya Robin kutoka Japan, inatumia mafuta kidogo sana . KARIBUNI
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Module za SIM800C Mbili zinauzwa bei Tsh 30,000 per Pc zipo pc 2 Kama unahitaji nicheki pm
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Say goodbye to manual bookkeeping and hello to streamlined operations! Our powerful system seamlessly integrates point-of-sale transactions with accounting records, saving you time and reducing...
1 Reactions
0 Replies
596 Views
Habari, Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=)...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio. Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Mambo Vp wakubwa Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata cover za hz simu redmi note 7 au redmi 10x pro 5g kwa hapa dar au hata nje ya dar maana nimetafuta hadi bas asee[emoji17]
0 Reactions
6 Replies
408 Views
Ntakuwa naleta hesabu kwa makubaliano. -Nimeajiriwa na mshahara wa 1.8 M -Sina mkopo bank wala popote -Sina wategemezi -Hii itaniongezea kipato weekend na masaa baada ya kazi. Nishawahi kufanya...
2 Reactions
0 Replies
352 Views
SIMU YAKO NI EFD YAKO TOSHA KABISA ..SASA UNAWEZA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO KUTOA RISITI ZA EFD TOA RISITI BILA KIKOMO KARIBU DIRM TECHWORKS TUKUHUDUMIE 0692099113 [emoji338] Whatsup...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Natumai mu-wazima nyote. Well, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji huduma ya mabarafu makubwa kiasi kwa maeneo tajwa hapo i.e Segerea, Tabata au kama ikishindikana basi hata...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
We are looking for skilled and motivated freelancers to join our team. If you are a freelancer with experience in any of the following areas, we want to hear from you: Writers and editors...
1 Reactions
1 Replies
638 Views
Kama wewe ni mwandishi ambaye unatafuta mtaalamu wa kuhariri kazi zako ili kufikia kiwango cha juu, nipo hapa kukusaidia. Nimejitolea kusaidia kuimarisha muundo wa maandishi yako, kusawazisha...
2 Reactions
6 Replies
586 Views
  • Closed
Nyumba inauzwa eneo ni Keko kilometer chache kuelekea ama kutoka mjini (city center), yaani kutoka hapo kuelekea Kariakoo kwa miguu ni dk 10-15 pia kuelekea posta ni 15-20. Ina vyumba sita na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu za kwenu? Hope mko poa. Niko na 4G POCKET WIFI nili nunua airtell kwa thamani ya shilingi 50k Ina offer ya 5GB kila mwezi pale unapo weka kifurushi cha mwezi mfano ukinunua GB 4.5...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…