Wandugu wa JF,
Leo tarehe 02/06/2011 zikiwa zimebaki siku takribani tano kuanza kusoma kwa bajeti ya 2011/2012; nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe billa kushawishiwa na mtu yeyote yule, huku...
Jamani nauliza naweza kupata wapi HDMI cable yaani kama kuna duka,je lipo sehemu gani,na kama kuna mtu anauza,ningependa kama inawezekana kujua na bei yake,
Natanguliza shukrani
Hello,
Nipo Dodoma, natafuta laptop yenye sifa hizi:-
1. RAM 1GB
2. HDD kuanzia 120GB nakuendelea.
3. Os ikiwa na visita nitafurahi ila hata ni xp hamna shida.
4. Iwe na condtion nzuri iwe...
Idhaa ya kiswahili ya RFI KIswahili inatarajia kuadhimisha mwaka mmpja tokea kuanzishwa kwake , ikiwa imekita mizizi yake jijini Dar es salaam Nchini Tanzania mnamo 5July.
Ili kusikiliza...
Nauza daladala Toyota DCM lina ruti ya Tabata - Posta. Linatembea, limefungwa tairi mpya na liko kwenye hali nzuri (Engine+Body+Rangi+Seat Cover). Bei 25m (maelewano yako). Mawasiliano ni 0773...
Toyota estima inauzwa na autorec dola 1780 au shligi 2,848,000 iko japan. Hivi garama ni pamoja na usafiri wa kuileta huku tanzania au? Harafu nisaidieni mchanganuo wa kodi zetu wa kuingiza gari...
Viwanja viwili vipo mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi zone ukubwa vyote ni 30 kwa 30 vyote viko barabarani umbali ni nusu km toka moro road. Bei inaanzia m9 bt hicho kingine kimejengwa nyumba...
I am working with an auditing firm,I have experiences in auditing and doing accounting works i.e preparing payroll,VAT,PAYE etc,and Preparing FINANCIAL statement. I am also writing business plan...
Vigezo na masharti kuzingatiwa wahi kabla ya tar 01 jul ,return kwa usd 350 tu
no one way
for more cont
0717 29 49 48
02221222402
jamani nimekuwa mteja mzuri wa hii ndege kwenda kigali...