Habari Authors.
Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost...
Habari wakuu.
Karibuni sana "pendezana mamap"kwa mavazi aina tofauti kwa jinsia zote wanaume na wanawake.
Nguo zinapatikana kwa size tofauti kwahiyo ukiulizia size yako utapata.
√ • Mashati...
Vitz inauzwa,ipo Ifakara.Ina issue ya engine,engine iliyopo inasumbua sumbua inahitaji matengenezo au mswaki(Msema kweli kipenzi cha Mungu.Biashara za kuambiana uongo zimepitwa na wakati)
Bei...
Jipatie Tshirts na Bukta Kali Sana Za Mtumba Kutoka Kwetu
T-shirts - 8,000(Fixed Bei Ya Ofa)
Bukta - 10,000
Unaweza Kutucheki Instagram @dj_mitumbagradeone Au Tupigie/WhatsApp 0657576369 Ujionee...
Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato
Bei ya jumla ni 8000
Bei ya rejareja ni 11000
Jumla kuanzia kilo 6
Napatikana Bunju
0658236797
Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life.
Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza...
Wakuu habari zenu,
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JamiiForums maana nimekuwa nikifaidika kila mwezi kwa kupata kipato cha kununulia vocha mjini.
Niliweka post humu JF...
Kila mtu anajiuliza hivi naanza vipi kufungua ofisi yangu ya Steshenari? Au inatakiwa niwe na kiasi gani?
Jibu ni moja tu sis kama MachapishoAgentLtd tupo kwaajili ya kukufungulia milango ya...
Dar na Mwanza.
Mwenye Saloon Car ambayo nawezakutumia kama Taxi anistue.
Mwanza ni bora zaidi maana lengo ni kutumika hukohuko mwanza,au hata Dar inaweza kupigwa mashine hadi Rock City.
Mahitaji...
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza...
NATURAL SKIN SOLUTION
IMANI YETU
Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa...