Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rav4 Miss Tanzania Cc2360 Bei M16.7 0783299186 0r 0716095123 Haijarudiwa rangi
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Karibu KP ELECTRICALS [emoji362] Tunafanya wiring na maintenance za majumbani, viwandani na kwenye workshops. [emoji362] Tunafanya wiring na backup za solar systems zote [emoji362]Tumebobea...
1 Reactions
1 Replies
568 Views
Nauza ps3 slim complete kwa laki mbili na sitini tu.. Ina HDMI pad 2 charger power wire Nipo Dar mwenye uhitaji anicheki [emoji400]
1 Reactions
4 Replies
779 Views
Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata. Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Hii ni pasi inayotumia mvuke wa maji. Ni rahisi sana kutumia kwani haiunguzi nguo hata ukiwa na haraka. Kwa wale wenye maduka ya nguo za mitumba hii itawafaa zaidi kwenye biashara zao ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Utalii wa Majini Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Tunatoa huduma ya kudesign CV za kisasa na zinazo vutia, pia tuna andika CV kwa ubunifu wa hali ya juu. Kwa mawasiliano: 0628673444 au Whatsapp 0767673440. Baadhi ya mifano ya kazi zetu. Bei...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion. Bajeti yangu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, kama upo Mwanza na unahitaji kukodi gari kwa garama nafuu, tuwasiliane 0762845506
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Wakuu habarini. Nahitaji fundi wa kudesign shelves za mbao (spray painted) kwa ajili ya pharmacy mfano kama wa kwenye picha hapo chini. Pharmacy ipo Zanzibar. Natanguliza shukrani za dhati kwenu
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Huduma ya kuagizia bidhaa kutoka dubai bado zinaendelea leo nawaletea GAMING PC kwa NUSU BEI πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ Dell Precision 5520 4K core i7 7th generation RAM 32Gb STORAGE 512Gb SSD...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Nina uhitaji wa gari iliyopata ajali subaru Impreza model ya mwaka 2008-2010. Kwa mwenye salvage ya aina hiyo ya gari tunaweza kuwasiliana.
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Karibuni wapendwa Simu HAINA TATIZO LOLOTE Inapatikana maeneo ya airport DSM Bei yake NI 160k Serious buyers karibuni DM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kariakoo ipo mil 10 hapa
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016 Ninatoa 100k Nicheki 0621973591. Note: Sihitaji pirated wala cracked version. Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Habari Wana JF? Nahitaji Alphard nyeusi mbili kwa ajili ya Harusi kesho Dar es salaam, naomba mwenye connection au ambae anazo anicheck PM. Thanks.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina mitiki hekari mbili kasoro, ina miaka sita sasa.. Ninataka kuiuza nahitaji serious buyer maana hali imekaza sana.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta wanunuzi wa pumba za mahindi, nikipata soko la Mbeya, Arusha itakuwa bora cause wengi wanapeleka huko mimi niko Katavi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…