Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari yenu nahitaji mwandishi wa proposals mzuri Awe dar es salaam Proposal yenyewe inahusu maswala ua utalii.... Ambaye angependa tufanye nae kazi anicheck kwa sms 0717277050
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni Camcoder na inauwezo wa kupiga picha 5.0MP.Imetumika lakini ipo kama mpya na haina tatizo.Ni kazuri sana hasa kwa kina dada.Inarekodi full HD 1080p na inatoa picha nzui sana.Inauzwa pamoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Panasonic LUMIX DMC-TZ20/DMC-ZS10 14.1 MP Digital Camera - Black Nauza Camera ya Panasonic DMC-TZ20E ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Imetumika uingereza lakini imeshafika Dar es...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Rural development of tanzania(udsm press)1975
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Kwa wale watakao hitaji fancy pigeons naomba wani PM. Naambatanisha picha ya njiwa ambao ninataka kuwaingiza nchini. CC: Malila,Mama timmy,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
PAJERO JR IPO SOKONI BEI TSH 6,000,000/= MAZUNGUMZO YAPO SIMU 0764 162008 NA 0733 162008
0 Reactions
12 Replies
2K Views
simu aina ya ideos huawei iliyoko kwenye picha hapo chini inauzwa kwa tsh.130,000/= ni used kwa anaeitaka ani pm
0 Reactions
0 Replies
802 Views
pata the best software kwa ajili ya ku design mfumo au model ya nyumba au jengo lolote kwa kutumia 3D effects and other cool graphic and visual effects.Software hii inaweza kutumika na architects...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Acer eMachines E525 for TZS 550,000/= Specifications zake ni: - Processor Intel® Celeron® (M 900 677FSB 2.2 Ghz 1MB Cache) - Screen15.6" (1366 x 768 Glossy Screen) - Operating System Windows 7...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Ukubwa ni 40x35 kipo karibu na barabara picha kama unavyoiona eneo ni tambarare na tayari kuna maendeleo na nyumba za kutosha kabisa kama uonavyo kwenye picha bei ni milioni 10 pia kuna maelewano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kiwanja kipo kabla ya kufika mivumoni, kata ya goba B. kinauzwa nusu hekali kwa sh.mil16,robo hekta kwa sh.mil8. contact me on 0656063933 or email mwinshehe.adam@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
new just imported from japan serious buyers contact 0715 881881 you can view it around morocco area near american embassy price 18m all duties paid
1 Reactions
19 Replies
3K Views
HP laptop inch 10 and web camera kwa 320000 ni 1 gb of ram Hard disk ni 16 gb, charge , wireless... nitafute kwa 07644358287 kama simu haitapokelewa nitumie sms...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Natafuta sehemu nzuri kwa kuweka ofisi ya stationery. Tafadhali ni PM iwe rahisi kukupata.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitaji chumba katika nyumba yenye fensi kwani Nina pikipiki maeneo temeke mitaa wailes,usalama changombe polisi sifa kubwa Choo kiwe poa simu 0712690760
0 Reactions
0 Replies
940 Views
7
0 Reactions
0 Replies
901 Views
laptop aina ya Acer Aspire 5253 inauzwa, HDD 500GB Ram 5GB DDR3, Screen 15.6HD LED LCD, CPU- AMD Dual-Core Processor 2Ghz Battery 6- Cell Li-ion battery. kwa masiliano wasiliana nami...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauza simu za Huawei Y200 zinatumia android os! -Bei 205,000/= -Specifications.. ingia Google alafu andika "Huawei ascend Y200" -Zinatumia lain zote! -Ni single line! 0683714488
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Kuanzia mwaka 2001 hadi 2004
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samsung lcd 32inches for sale.for price 650,000/=tsh na mengine pm.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom