Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

jaman naomba msaada m wenye kujua bei za mabat ya araf haya ya kawaida hacha yale ya migongo mipana kwa kiwanda wanauzaje moja na wanauza kuanzia mangap.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kama ambavyo mnaelewa faida za mafuta ya ubuyu kwa yeyote anaeishi Dar na anahitaji anipm nauza bei poa sana. karibuni sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu msomaji nauza mbwa wa ulinzi aina ya German shephered kama anavyoonekana kwenye picha. bei ni 350,000/- tu. Kwa wale wote wanaohitaji tafadhali ni PM kwa maelezo zaidi. Asante
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Used iPhone 4s Black, 16GB - factory unlocked, running iOS 6.1, modem firmware 3.4.01 inauzwa 750,000/=. Ina accessories zote (headset,car charger,music dock, stylus,multiple headphone jack etc)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri wangu 28 nahitaji mke kwayeyote anaejiona kua ana sifa na vigezo vinavyomfanya astaili kuitwa mke ajitokeze tujenge familia umri wake miaka 21 mpaka 24 yrs awe ni mtu mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gari aina ya Suzuki Escudo iko katika good condition inauzwa!ni make ya 1993 mdau yeyote ambae yuko interested tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanapatikana. . .kwa anayehitaji.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika mini laptop ikiwa na specification zifuatazo kwa Tsh 300,000 Processor- Intel (R) Atom (TM) CPU 1.67 GHz, 1GB RAM, 220 GB HD, Window 7 starter, ESET node ant virus...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
habari wadau! ni wapi ninaweza kupata jenereta la mtumba (nitapendelea zaidi kama nitapata ROBIN) , la kuanzia watt 3000-5000.
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Suzuki escudo milango mitano inauzwa bei ni sh milioni sita na nusu maongezi yapo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tittle inajieleza, mwenye hiyo kitu ajitokeze hapa tusemezane
0 Reactions
0 Replies
978 Views
wakuu kwa yeyote anayeuza straw cutting machine kwa ajili ya kukata majani makavu kama ya maganda ya ndizi,au mpunga yenye uwezo wa kukata nusu tani kwa siku,bei iwe affordable,nmeweka sample ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simi inauzwa Samsung SGH-i917R windows phone bei laki 2naelf sabini wi-fi connection network simu 0712690760 ins mwezi tokea inunuliwe utapewa chaji na headphone Ipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Nahitaji solar backup plan ya nyumba yangu ya kuishi iwe ina uwezo at least kuwasha fridge ya kawaida, tv set,taa za ndani na nje plus accesories ndogondogo kama laptops na kuchaji simu. nipo dsm...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Model LG c900 2-carrier :AT&T wireless 3-Software :windows phone7 4-total storage:14.94Gb 5-Available storage:14.02Gb bei laki2wi-fi internet full speed mawasuliano 0712690760 ina siku 7...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wakuu, Mwenye simu tajwa hapo juu naomba inijuze ninahitaji kwa haraka.
0 Reactions
2 Replies
976 Views
natafuta sonyericsson u1i kwa 170000 kama unayo ntumie text kwa 0718928267
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habar zenu wana jf. Kuna nyumba kubwa ya vyumba vitatu,dining table,sebule kubwa, jiko na public toilet. Chumba kimoja ni master. Kodi ni shiling lak mbili na sitini tu kwa mwezi na inahitajika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
LIMITED TIME OFFER (ZOTE NI MPYA) BRAND NEW never been used Acer aspire one d270 Windows 7 with HARD DISK 320GB Selling price tsh 500,000 Dell streak 7 wifi + 4G sim unlocked TABLET with 16GB...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NYumba kubwa inapangishwa ina sebule,vyumba vya kulala vitatu kimoja wapo ni master,jiko ,dining table, na public toilet. Kodi ni shilingi laki mbili na sitini elfu tu kwa mwezi. Unalipa kodi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…