Helo wanaJamii!
Tafadhali naomba mwenye kujua contact za kampuni hii au mahali walipo hapa Dsm anisaidie.
Ni kampuni inayofanya kazi kama za PUSH MOBILE mfano: ununuaji wa ring tone za...
Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa ShilingiMilioni moja na Nusu (1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road maeneo ya Visiga Seminary...
kwa mahitaji ya laptops za hp na toshiba brand new genuine
Kuanzia hp probooks, presario, pavilion zinapatikana kuanzia lak 4 mpaka lak 8 kutegemea na specification ya laptop yenyewe.
Laptop...
Mi namtafuta Mtu tubadilishane naye my NOKIA 603 na samsung galaxy s2, s3 or s3 mini... Kama upo serious ni PM tutaongea zaidi. Simu yangu haina tatizo lolote lile.. Wala scratch na vifaa vyote...
Wadau,
Natarajia kuingiza Toyota Altezza hapo tarehe 13th October 2012 kutoka Japan.
Gari hii naiuza ikiwa njiani kwakua nimepokea gari zingine hapa karibuni hivyo sina pa kuiweka.
Mwenye...
Great Range Rover, easy to drive and very fuel efficient because of its 2500 cc diesel engine. Car is in great condition and is available in Dar Es Salaam.
Details:
Year of manufacture: 1996
2.5L...
Nauza external harddrive ya transcend ya 320 gb, imetumika but ipo kwenye condition nzuri sana, haina tatizo lolote.
Bonus: a lot of stuff such as latest movies, and software
Kama uko...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings.
Pia tunafanya interior Design na Landscape...
Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa ShilingiMilioni moja na Nusu (1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road maeneo ya Visiga Seminary...