Simu ipo katika hali nzuri haina scratch ata kidogo. Ninauza kwa kua ninashida na napatikana DOM mjini. Kwa atakae penda ani-PM.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Natengeneza magate kwa ufanisi wa kutosha kwa mfano uliopo hapo. Pia madirisha na milango.
Napatikana Makongo juu Ccm,
Wote mnakaribishwa.
Napatikana kwa namba
0717441590/ 0756563545
Ni zile za tigo, ipo poa, haina michubuko, ipo protected na scrach since day one.
Tsh. 155000/ tu. (laki na hamsini na tano tu). inatumia line zote
ina vifaa vyake vyote, hadi box...ni inbox...
OVERVIEW
Market Status Released
Release Date May 2012 (1 year ago)
DETAILS
Operating System Android
Operating System Version Android 2.3
User Interface Android
Keypad Options Touch Screen Keypad...
naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka
wakuu nahitaji huduma ya printing ya banner kwa affordable price,banner yenyewe iwe na ukubwa wa 260*343,ni coloured ,na iwe na material mazuri,mwenyewe huduma hii naomba ani PM
Wadau nauza Laptop adapters za Aina zote. Bei ni 35,000 TU. Toa order nitakuletea ulipo au maeneo jirani. KAribuni
Kwa Mawasiliano piga namba 0658663325-
Wana jf
nina spy watches saba bado mpya zipo kwenye maboksi yake na usb cable zake,zinaweza kuchukua picha,video,na mp3 kwa high quality,bei laki moja na nusu abo....,mwenye hitaji anitumie sms...
Nyumba iko musoma mjini,tuna itaji kubadilishana na nyumba iliyopo:dar es salaam,arusha,mwanza,morogoro au moshi.
Nyumba imegawanyika seheme mbili mbele na nyuma.nyumba ya mbele ina vyumba vinne...
APCS TANZANIA(AFFILIATED TO AMREF TANZANIA)
· NI ASASI ISIYO YA FAIDA ILIYOSAJILIWA KUTOA HUDUMA HAPA TANZANIA
· A PSYCHOSOCIAL CONSULTANCY ORGANIZATION
· TUPO...