Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunapenda kuwafahamisha Wapenzi wasomaji na wafanyabiasha kwa ujumla na wenye kuwa na mahitaji mbali mbali sherehe na burudani sasa unaweza kuwasiliana nasi kwa kupitia anunwani zifwatazo...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Sold..............
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kiwanja kizuri kinauzwa chenye ukubwa wa sqm 1200 kiko eneo zuri tambalale kinauzwa sh 65M kwa mawasiliano piga 0657375494
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Watanzania wenzangu nina nafaka naziuza mchele super (wambea),alizet & karanga.vyote naziuza kwa jumla kama unaitaji nicheki no 0712 412 622
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Natafuta photocopy machine ambayo ni used, iliyo katika hali nzuri na bei nafuu kabisa. Kwa mwenye nayo au taarifa ya kuniwezesha kuipata tuwasiliane kupitia JF au +255 659 528 724. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni web nzuri ya kupata free template na extension za joomla ukiachana na hizi torrents!! Maana torrents hazina review kabla ya kipakua!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inataa mbili(bulb) zenye nyaya mbili ndefu na inakaa na chaji kwa muda wa masaa kumi na mbili kwa mawasiliano 0654 996561 ramsef550@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Nauza samsung digital camera mpya from UK ,ina 16.1mp ,nyeusi ina 5x digital zoom,ina 3" lcd screen.Iko ndogo inaweka hata kwenye pocketbya suluali tu na ni powerful.bei 280k mwenye kuhitaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana bodi, Jamani napenda kufahamu bei za magari niliyotaja hapo juu; Mark X, Toyota Verossa na Rav 4 (Kubwa) ya mwaka 2002-2004 kwenye show room Dsm, kama kuna anayefahamu naomba msaada...
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Nauza kiwanja kipo Dar ea salaam wazo kimepimwa na kina hati bei Ni shilingi million 28, sqm 669 negotiable,serious buyer only
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Nauza mbuzi ishirini kila sh.70000@ wana afya nzuri Sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mashine ya umeme ya kukamulia juice ya miwa zinauzwa kwa bei nafuu kwa mawasiliano piga simu namba 0753 181 333 0715 181 333
0 Reactions
9 Replies
5K Views
habari bandugu nina 1000,0000/= naitaji pikipiki aina ya fekon au sunlg pls ni haraka sana yaitaji ni muhimu aliyenao anipm iwe imetumika mwezi 1 tu au iwe mpya kabisa pls marafiki nisaidieni...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
HP 4580 multifunctional machine mpya inauzwa kwa Laki Moja na Elfu ishirini(120,000) Contact : 0766507080
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Kwa wanaopenda kupendeza kiafrica zaidi kwa mavazi ya batiki za kisasa utaletewa popote ulipo dar na mkoan.Pia kama unapenda kujifunza utengenezaji wa batik utafuatwa kwako na vitabaa vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
boxer bm kwa mil 1.3 bado mbichi imetumika miezi5 kwa safari za kuenda mjini na kurudi na imelipiwa bima kubwa....nicheki 0717 022737
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajasiriamali tunaungana;kwa mtu anae hitaji machine mpya nzuri na zenye ubora aina na size tofauti kama canon 2020i/2016;contact 0718 24 7575 UTAPATA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa maeneo ya Bunju ‘A’ (Kiondo area). Vipo kilomita 3 toka barabara ya Bagamoyo. Bei ni kama ifuatavyo: Ukubwa unaanzia 20 X 20 (Tshs. 12mil.) hadi 25 X 30 (Tshs. 16 mil). Ukihitaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Sold............. Imeshauzwa............. Fuata hii Link kupata sifa zake zaidi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nataka sports rim nzuri . Niende wapi kwa hapa Dar nikapate choice kubwa. Nini cha kuangalia kwenye rim zaidi ya size, coz nasikia nyine ukikanyaga reli ya treni zinakatika asanteni
2 Reactions
11 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…