Viwanja vinauzwa maeneo ya Bunju A (Kiondo area). Vipo kilomita 3 toka barabara ya Bagamoyo. Bei ni kama ifuatavyo: Ukubwa unaanzia 20 X 20 (Tshs. 12mil.) hadi 25 X 30 (Tshs. 16 mil). Ukihitaji vipimo vya kiwanja kiongezeke kutokana na matakwa yako, inawezekana pia. Maelezo zaidi piga: 0684 975514