3D BenQ Projector inauzwa!

3D BenQ Projector inauzwa!

Mkuu bulb yake inatarajiwa kufanya kazi kwa masaa mangapi? Je hiyo bulb iliyopo sasa maasaa yake yakiisha kuna uwezekano wa kupata replacement kwa urahisi? Otherwise kwa projector mpya, bei yako ni reasonable sana.

Tiba
 
Mkuu bulb yake inadumu 3000Hrs mpaka 5000Hrs kulingana na matumizi yake.. replacement zake siyo tabu kupata mkuu.

Naiuza kwa bei hiyo basi tu ni kwa sababu ninahitaji pesa ya fasta kwa ajili ya safari.

Karibu.

Barraza
 
Waungwana mzigo bado upo, karibuni..
 
Does it mean it gives 3D projection on the screen if you are playing a #D movie?. Does it need special glasses?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom