Iphone 4s
Mbili Black
Mbili White
Zote 16 GB
Zimetumika miezi michache
Hazina scratches
BEI: 520,000 each
Galaxy S3
Black 16 GB
Imetumika miezi michache
BEI: 585,000
Contact...
Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za...
Habar zenu marafiki.
Habar nzuri kwa wenzetu waliofanya mitihani mwaka 2013 ikiwa ni trial,huku wakipewa pongezi kwa wingi wakiwemo walimu na wazee,wanafunzi hao walifaulu vizuri trial yao...
Je ungepenga kupunguza unene na kuwa na shep nzuri inayokubali nguo zote hili ni jibu lako Clean 9 ndio kiboko ya unene wa kila aina jamani call 0754/0715 297298 kwa ajili ya order.
Mazhim Tanzania limited is a Registered company with reg no 95507
Incorporation Date 28th November 2012 Place of registration Dar es salaam, Tanzania
Postal Address
P.O Box 62279, Dar es Salaam...
JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa tunatoa kozi...
Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa ipo Dar na bei ni Tshs 5.5 milion.Mtanisamehe kwakuwa gari hii sio yangu ila namsaidia ndugu yangu kumtangazia kwa hiyo maelezo hajanipa mengi ila mtampata katika...
Habari najitaji video cd zenye masomo ya computerised accounting software kwa mwenye kuuza au anaye fahamu link ya ku download msaada plz my no 0716 567 467
Wapendwa wadau kuna biashara simu mpya kampuni ya at&t samsung ziko sokoni tunaziuza kwa jumla na rejareja ni simu nzuri smart phone
Ukipenda pm me nitaleta ulipo..keshi tutaziuza arusha
Wakuu. kuna viwanja vinne tofauti second low from the beach maeneo ya mbweni! Ukubwa ni kama ifuatavyo 1639sqm, 1191sqm, 1294sqm and 1580sqm. Bei ni poa kabisa karibu na bure. Do not miss this...
Naomba kuuliza kwamba eti wakuu nikitaka kuweka mahali pooltable kwenye bar hivi maeneo ya Sinza au ilala malipo yanakua bei gan kwa mwezi yaani ntakayo mlipa mwenye bar kama kodi
~Asante~