Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Dhumuni la Uzi huu Dhumuni la kuanzisha uzi ni huu ni kuitambulisha rasmi kampuni ya Legacy na kuonyesha baadhi ya kazi Ilizokwisha zifanya kwa wateja wake, unaruhusiwa kuuliza au kutaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inauzwa 150.
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Ndugu wana jf salaaaam.kama ilivyo ada leo nawaletea asali nzuri na bora iliyoandaliwa kitaalamu kwa usimamizi mzuri wa maafisa wa maliasili. Ni aslai ya nyuki wa kubwa kutoka kigoma bei nafuu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
We have all kind of used cars as per request we have shiping facilities to dare salam port direct from muscat oman our contact : worldcoastllc@yahoo.com...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simu iko pouw call 0656063933 or pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nilipata taarifa ambazo hazikuwa kamilifu kuwa Wilaya ya kinondoni inatarajia kuuza Viwanja maeneo ya Mabwepande, Mwenye kujua naomba anijuze taratibu ziko vipi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa, bei ni 80000, maelewano kidogo yapo. Imetumika kidogo. 0717183929 mawasiliano yangu
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Vipo Mbezi juu karibu na Saint Mary Secondary school. kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. ukiwa katika viwanja hivyo unaitazama bahari. Bei 70mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu kuna acre 3 nimekabidhiwa mbezi beach kwa wanaojenga apartment au hospital au kumbi za sherehe au parking. kwa mwenye mteja anicheki 0652715232 au info@equpointproperty.co.tz
0 Reactions
0 Replies
978 Views
nyumba self and master inapangishwa maeneo ya tabata liwiti ,nyumba ipo barabarani ina geti,umeme maji na kisima cha ndani,vyumba 3 master ,jiko na vyoo vya ndani,self luku and parking za...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
habarini wana ndugu, mimi nataka nyumba ya kupanga kuanzia januar mwakani, nimeweka taarifa mapema ili kama kuna mtu anamalizia kujenga au anajua kuna mtu anahama sehemu niweze kupata kirahisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Natafuta TV iwe 3D au LED .. Na pia nipewe nafasi ya Kulipa kwa installments kama inawezekana. Namba: 0714880007
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo magomeni barabarani karibu na msikiti.bei shs mil 700 maongezi yapo.kama unahitaji piga 0713463004
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu akina dada....ninauza viatu vya kike.....namba kuanzia 36-42 kutoka UK...bei ni 40,000/- kwa flat shoes na 65,000 kwa wedges....high heels 35,000/- only(clearance sale)....angalia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Helow wana JF Kama heading inavyosema apo juu nauza my blackberry curve 8520, bei ni sh 100,000. Ila ina tatizo la sensa ni ya kubadilisha. Kama unaitaji nipigie kwenye 0716-369299
0 Reactions
0 Replies
841 Views
HP Compaq dc7900 Core 2 Duo E8400 3.0GHz 4GB 80GB DVD Desktop PC imetumika miez miwili inauzwa,kama unahitaji n PM no zako ntakutafuta!!!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mimi naishi Iringa mjini nahitaji shamba la kulima mahindi ambalo halipo mbali sana na mji kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kama heka tano hivi.Mdau yeyote mwenye ufahamu tujuzane maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ipo kitunda mil 32 ina vyumba 3 masta1 choo cha ndani dinin n seting room jiko,store na nje kuna choo cha nje haina dalali nicheki 0717184353
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja kipo keko jerani namadawa kuenda posta haina haja yakupanda gari . Unaweza jenga vyumba kumi nahati ipo bei 5m . NiPm Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
788 Views
am ally nauza camera aina ya casio megaplx 16.1 yenye memory ya 16gb optical zoom 12.5x,2.7/6.86 lcd lens 24mm and hd movie ni mpyaaa na kila kitu chake,like charger usb.bei ni laki 3.5,pia nina...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…