Nauza simu aina ya Nokia Lumia 520 ipo katika box lake ni mpya imetumika week 1 tu na inakila kitu kuanzia charger,earphone na cable yake....bei ni tsh 250,000....kwa mawasiliano nichek 0715 369096
Habari wanaJF!!
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo,!!! Nina ombi moja tu kwa aliye na accounting packages zifuatazo (Ukipata hata 2 au moja sio mbaya) Tally 9.2,Quick Books Pro 2012 au 2013...
Wakuu salaamu Kwenu.
Penye Wengi hapakosi Mengi.
Nataka Kununua Gari, Itakayonifaa Kwa Safari ndefu ( ARS-DAR-MZA) etc mara Mbili mpaka 3 in 6 Months, bila kuwa na wasi wasi na safari,
Niwe...
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa kupata kiwanja kizuri maeneo ya visiga madafu tafadhari awasiliane nami.
kiwanja ni robo eka (kiko flat na miembe tanga miwili) wewe ni kula tu kila msimu)
sio porini...
Natafuta nyumba ya chumba na sebule self contained au hata chumba kimoja self contained ila kiwe kikubwa maeneo ya kinondoni, magomeni, mikocheni na moroco. Iwe karibu na barabara na kuwepo na...
Poleni kwa kazi na majukumu mengine ya kila siku wakuu,
Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi,
lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA...
Habari wana jamvi!Kwa wale wapenzi wa samaki karibuni samaki wa maji baridi sato na sangara.Tunauza jumla n rejareja.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand y magari ya kwenda mjini.Bei zetu ni...