Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,070 Reaction score 14,442 Sep 12, 2013 #1 Serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana PM kama unapenda Tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16Gb
Serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana PM kama unapenda Tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16Gb
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,070 Reaction score 14,442 Sep 12, 2013 Thread starter #2 Pixs zake hizo.. Attachments 20130913_174823.jpg 268.3 KB · Views: 209 20130913_174845.jpg 381.7 KB · Views: 179 20130913_175004.jpg 302.9 KB · Views: 170
D Duly zura JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 411 Reaction score 37 Sep 12, 2013 #3 chkua 700 kamili kesho
Micro E coli JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 938 Reaction score 192 Sep 12, 2013 #4 mzuzu said: serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana pm kama unapenda tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16gb Click to expand... kwa bei hiyo bora kuongeza 400000 nikachukua kitu kipya.
mzuzu said: serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana pm kama unapenda tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16gb Click to expand... kwa bei hiyo bora kuongeza 400000 nikachukua kitu kipya.
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,070 Reaction score 14,442 Sep 13, 2013 Thread starter #5 Duly zura said: chkua 700 kamili kesho Click to expand... Fanya 800 tufanye biashara, hii kitu imetumika miezi 2 tu na ni kwa dharura tu inatoka lakini ni almost mpya.
Duly zura said: chkua 700 kamili kesho Click to expand... Fanya 800 tufanye biashara, hii kitu imetumika miezi 2 tu na ni kwa dharura tu inatoka lakini ni almost mpya.
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,070 Reaction score 14,442 Sep 13, 2013 Thread starter #6 Micro E coli said: kwa bei hiyo bora kuongeza 400000 nikachukua kitu kipya. Click to expand... Sio lazima uchangie kila post..
Micro E coli said: kwa bei hiyo bora kuongeza 400000 nikachukua kitu kipya. Click to expand... Sio lazima uchangie kila post..
M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 479 Reaction score 259 Sep 13, 2013 #7 Mzuzu said: Serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana PM kama unapenda Tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16Gb Click to expand... kama 720 inalipa ni pm
Mzuzu said: Serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana PM kama unapenda Tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16Gb Click to expand... kama 720 inalipa ni pm
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,070 Reaction score 14,442 Sep 13, 2013 Thread starter #8 mfocbsjut said: kama 720 inalipa ni pm Click to expand... Mkuu upo mbali vuta hd 800 tufanye biashara
mfocbsjut said: kama 720 inalipa ni pm Click to expand... Mkuu upo mbali vuta hd 800 tufanye biashara