Nyumba inatafutwa

Nyumba inatafutwa

Nanjoy

New Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Natafuta nyumba ya chumba na sebule self contained au hata chumba kimoja self contained ila kiwe kikubwa maeneo ya kinondoni, magomeni, mikocheni na moroco. Iwe karibu na barabara na kuwepo na maji pia. Kwa yeyote anayeweza kuniasaidia naomba anipm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom