IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa kupata kiwanja kizuri maeneo ya visiga madafu tafadhari awasiliane nami.
- kiwanja ni robo eka (kiko flat na miembe tanga miwili) wewe ni kula tu kila msimu)
- sio porini ni kwenye makazi tena mapya (japo hakujapimwa)
- ni karibu na barabara iendayo zegeleni kwenye viwanda vya wachina
- ukitoka barabara ya rami; madafu wanapokaa police traffic ni kama km 1.
- umeme na maji vipo kwa waliokwisha jenga (majirani)
- barabara ina usafiri wa mizigo na abiria ( magari na pikipiki)ipitayo karibu.
- bei ni milioni 3.5 wakati wa taarifa hii (inazungumzika kidogo).
- ukitaka kukiona piga namba hii: 0652-656565
- pia kiwanja hiki kinapakana na kiwanja chenye ukubwa wa zaidi ya nusu eka.
- bei yake ni 6.5 m (inazungumzika kidogo hata ukitaka muunganiko)
- hakika hali ya hewa ni nzuri sana maeneo haya, na watu wanapenda maeneo haya hasa kwakuwa yana uwekezaji unaondelea maeneo haya (hasa viwanda).
- bei itabadirika kadri ya muda utakavyo kuwa unasogea.