Wakuu rafiki yangu anataka kununua gari tajwa hapo juu i.e GAIA ....anatakajua umakini wa gari hii wakuu.
Fuel consumption,availability of spare parts,durability and the like...please help chap
kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa.
bei ni maelewano. kuanzia laki 7
ni mpya kabisa ndani ya box.
first come...
Viwanja hivi vipo katika eneo la Sumangila, Kigamboni Dar es salaam, ni mwendo wa km 29 kutoka feri ya magogoni mpaka viwanja vilipo.
vina sifa zifuatazo:
vimepakana na kwamba unaweza kuchukua...
habar wakuu, nina s3 mini nimetumia mwez mmoja ila ina kila kitu mpaka rct, sasa nahitaj s3 kubwa au s2 plus kwa anaeweza kuxchange ntamuongeza na ela kidogo aje pm tumalzane.
Kiwanja kinauzwa kipo visiga madafu kina ekari moja....kipo kilometer 2 toka barabara ya morogoro.....kipo katika njia ya kwenda bagamoyo....bei ni 6milion....kwa mawasiliano...
Habari wana JF. Sasa naongeza mtandao wa biashara na kuuza cover na screen protector za smart phones kama blackberry, iphone, samsung etc. Kwa mawasiliano nicheki kwenye 0716369299
Kuusu bei, bei...
wa wanaoitaji msaada wa usajili wa makampuni. Kwa wale wenye mahitaji na msaada wa kuandaliwa submission,affidavit na documents nyingine pamoja na msaada wa namna ya...
Kwa wale wote wanaohitaji viwanja vilivyopimwa vinapatikana maeneo ya kigamboni city vya sqm 400-600,800-1000 per 8000 thousands per square meter. Contacts 0717038035,0766 564455