Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza simu ya samsung galaxy s4 nyeupe, ni original. Imetumika kidogo na iko kwenye hali nzuri sana, ina 32gb internal memory. Inakuja na flip cover tu. Kwa mawasiliano pm au nichek at 0717301520...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naenda shamba kuvuna kitunguu shambani, natafuta soko huku Dar, hivyo naomba mwenye uzoefu wa soko anisaidie mwongozo. Mwongozo wenyewe ni wapi kuna soko zuri la kitunguu, tuwasiliane tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Urgently needed, please nisaidie naweza kuipata wapi? Kuna mtu anayo? Itakuwa bei gani? Regards.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Hivi bei ya chini kabisa ya kiwanja pande hizo inaanzia sh. Ngapi? 20*20 mita za eneo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gari aina ya Suzuki Alto, CC 600 Ya mwaka 2000 inauzwa. Bei ni Tsh 6.5M (Negotiable). Piga: 0782707030
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Iphone 4 Nyeusi yenye ios 7 Imetumika mda mfupi ni kama mpyaaa.. Bei 340,000/= Contacts: 0716683434 Location: Mabibo Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
873 Views
NOKIA E61 iko katika hali nzuri sana. BEI..laki moja na nusu..(150000tsh) haipungui Niko Dar es salaam Tuwasiliane 0768497592
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Nahitaji jengo maeneo ya Victoria na moroco au Masaki, jengo linaloweza kutumika kama makazi na ofisi kwa wakati mmoja. Dalali hahitajiki, na kama atahitajika yako mambo ya msingi kukubaliana. bei...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Ndg.wanajf,hope wote wazima.ninahitaji sana kitabu tajwa hapo juu cha elimu ya ndoa hususan NUSURU NDOA YAKO.Plz anayeuza tuwasiliane kwa 0686387132
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Nokia n9 inuzwa ya rangi ya pink (simu adimu kabisa) simu imeshatumika na ipo katika hali nzuri bila tatizo ina scratch kwenye cover kwenye pembe tu. Brief specs 1.Ina kioo inch 4...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
CONTENTS 1. General information 2.statutory aurthorities and pemissions 3.Design data 4.Basic and shortcut tools for structuaral analysis 5.geotechnics 6.timber and playwood...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Habari zenu, chagua Scania mojawapo katika hizo nakuletea mpaka Tanzania bei ni Tsh mil. 60 Scania 124 na Tsh mil. 55 Scania 113, ama kama unahitaji Scania 113 ndefu tuwasiliane nitakupatia, gari...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
We are in the business of carpet cleaning . Our guys are young and energetic try us and you will never regret. Remember dust undermines your health. For more details contact 0767 990 785 Sent...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
nauza bb curve 9320 bei 100,000 haina tatizo lolote imetumika miezi 3 tu.ishaflashiwa inatumia vifurushi vya kawaida 0659626782 huna salio nibip nkupigie."the masterminder"
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Item specifics Condition...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
  • Closed
Nauza home cinema mpya from Uk,bei laki 680000. specification zake This panasonic Blu-ray player is compatible with 3D TV & 3D...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
kama una smartphone na inasumbua betry,basi unaweza kununua hii ipod ukawa unaitumia kwa ajili ya internet na music...pia hata kama huna smartphone ila ni mpenzi wa music basi hii kitu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za jion ndugu zangu wapendwa. Poleni na majukumu ya kutwa nzima. Napenda kuwakaribisha wale wote wenye shauku ya kumiliki magari yao kuwa sasa unaweza kupata gari/magari toka Japan kwa bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa ni wapi nitapata hizi simu za huawei ascend y300 ikiwa mpya kabisa!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…