Habari zenu wakuu
natafuta laptop yenye specification zifuatazo
Hard disk walau 500 Gb
Ram 2
procesor 2 Ghz
webcome
kwa bei tajwa hapo juu
maongezi ya kuongeza dau yanaweza fanyika pia...
Viwanja vinauzwa eneo la bunju A.
eneo liko bunju A, Ni kama km 1 kutoka barabara ya bagamoyo.Kama unaenda na daladala unashukia Bunju CCM au Bunju Polis. Viko karibu kabisa na Chuo kubwa...
Habari za leo wakuu.
Nyumba ya bedroom mbili au tatu inayojitegemea inahitajika kwa kupangisha arusha mjini.
Niko open to negotiation lakini haswa nahitaji katika viwango nilivyo vitaja.
Mwenye...
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa
aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw
KWA BEI YA LAKI NANE TU...
kwa mawasiliano
0714-414020
0719-819227
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza,mtu mwenye smartphone inayotumia Os ya android aniambie au hata Nokia symbian s60 anijuze maana napata shida hata kuingia Jf
Wadau ambae anajua wapi naweza pata mashine ya kujazia ASALI kama inavyoonekana kwenye picha iwe USED au MPYA naomba tuwasiliane kwa simu namba 0769129351 au 0683370065.
Natanguliza shukrani za...
Habarini za shughuli,
Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali.
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu
Nategemea...
Habari wakuu,
Jamani mie nilikuwa na pesa ya nusu ya thamani ya aina ya gari ninalohitaji.
je kuna sehem wanakopesha kwa kulipa nusu ya gharama then kulipa kwa awamu kila mwenzi na terms...
Wakuu nawasalimu sana.
Please naomba kwa anaejua mahali/au anayo frame kwa ajili ya biashara ya nguo za kike ani-PM please. Kwa sasa nipo dar lakini nahitaji kuhamishia biashara arusha. Naomba...
Huawei Ascend Y300 inauzwa, iko unlocked (inatumia line zote) specification zake ni:
MEMORY Card
Internal 4 GB, 512 MB RAM
CPU Dual-core 1 GHz Cortex-A5
CAMERA 2. mbele na nyuma.
OS Android...
Huawei Ascend Y300 inauzwa, iko unlocked (inatumia line zote) specification zake ni:
MEMORY Card
Internal 4 GB, 512 MB RAM
CPU Dual-core 1 GHz Cortex-A5
CAMERA 2. mbele na nyuma.
OS Android...
Viwanja viwili vyenye ukubwa wa 25 x 30 m, kila kimoja vinauzwa.
- Vipo Iringa mjini - Mawelewele.
- Havijapimwa, mnunuzi atafuatilia upimaji mwenyewe.
- Bei ni milion 3.8 kila kimoja. Maongezi...