Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Toshiba c 850 ipo sokoni singida...specs kama ifuatavyo, 320 hdd, 2gb ram na 2ghz processor speed kwa mawasiliano zaidi 0687 573118 au 0712 682226
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Kiwanja kwa ajili ya makazi chenye ukubwa mita 30 kwa 30 kinauzwa. Kipo eneo la Kibamba, Kibwegere. Bei ni TZS 8m, maelewano yapo. Anayehitaji, ani-pm namba ya simu tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Techo P3 kamera mbili kwa laki na kumi, ni PM kama unahitaji
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=) nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote 0713644485 number...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF, Eti ni wapi Dar ninaweza kupata African prints za quality nzuri na kuvutia?Zinatoka nchi gani? Bei haina neno nitapambana nayo mathalan nipate bidhaa yenye kiwango kizuri. Natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wana jf nauza playstation 3 iliyokuwa cheaped na inatumia multiman 4.46.,ina ukubwa wa gb 80 na ndani yake ina michezo ambayo inacheza tayari ikiwemo fiFA 14,GTA 5,NA ALPHA PROTOCAL na cd...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
wakuu,mahali ARUSHA MJINICONTACT 0655320077
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwenu wakuu! Nahitaji dada wa kazi kwa ajili ya kazi za nyumbani mwenye contact zozote mahali naweza kupata mfanyakazi please anisaidie...naishi makongo juu ccm. Natangulisha shukrani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
For more info contact 0716398757 17mil Km ni chini ya 100,000
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Ninauza Toyota rush, modeli ya mwaka 2007, rangi nyeusi metalic (presidential colour), imetembea mileage 67000kms tu mpaka sasa. imeingia nchini mwezi wa saba mwaka huu. iko kwenye hali nzuri...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata bima, ubungo. Bei isizidi laki na nusu. Iwe na fensi na maji
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Shamba lenye ukubwa wa hekari 2 lililopo Bunju B linauzwa milioni 28.Shamba lipo karibu na wahanga wa mafuriko na ni kati ya dakika 10-15 kutoka zilipo nyumba za wahanga,shamba ni tambarare na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nauza simu aina ya nokia 311 *simu ina wi-fi *single line *camera *touch screen Bei ni tshs.140,000/= bei inapungua nitafute hapa 0715404808 nipo dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kitanda , kochi na kabati kutoka Arusha kuja Dar. Naomba bei ya usafirishani wa hivyo vifaa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu nahitaji betri ya camera aina ya canon BATTERY PACK NB-6L
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni used iko katika hali nzuri. nipo dodoma namba yangu 0757383551
0 Reactions
0 Replies
937 Views
kwa jumla na rejareja.inatumwa pia na mikoan.contacts 0719681821
0 Reactions
0 Replies
1K Views
offer for the xmas season.available kwa jumla na rejareja.inatumwa na mikoani pia.contact 0719681821
0 Reactions
0 Replies
755 Views
they are available,chrstmass sale. contact 0719681821
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Habari Wadau, Natafuta Printer yenye sifa zifuatazo. * Yenye uwezo wa ku-print paper sticker *Rahisi katika kujaza wino au wino wake unaopatikana kwa bei rahisi *Heavy Duty *Bei Poa SMS...
1 Reactions
0 Replies
889 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…