Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

nina computer desktop compaq evo inawaka lakini no display inatoa 2 long beep sound nimebadili RAM no changes, nimebadili VGA card bila mafanikio.
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Cm zote nazitumia na hazina tatizo lolote nipo dar kwa aliyetayari kufanya biashara anichek!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unahitaji Kadi za Mialiko Mbalimbali kama - Harusi - Send Off - Kitchen Party etc PLEASE NIONE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu aina ya HTC Desire HD A9191 inauzwa kwa bei chee sawa na buree!!! Bei ni laki mbili kwa mazungumzo zaidi piga namba 0656700090
0 Reactions
1 Replies
794 Views
wakuu..bajeti yangu ni 80 elfu..mwenye cm ya android anaeuza kwa bei hio...tufanye biashara.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Fremu ipo kimara suka dk 5 kwa mguu toka morogoro road. Haina udalali, bei 60,000/= kwa mwezi, kodi miezi 6 0715688433 Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama una simu za aina hiyo tuwasiliane nikupe hela.
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Mimi ni daktari wa mifugo napatikana kwa ajili ya kutibu mifugo at your door steps pia ku design mabanda ya mifugo mbwa ng'ombe kuku nk ni pm twende sawa
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jamii Forum wenzangu, Nina solar kit yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa watts 500 ambao unatosha kuanzisha Biashara kuonyesha TV, kuchaji simu, kinyozi na hata secretarial services. Kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
iwe na specs zifuatazo Intel core 2 duo 2.0ghz au zaidi 250gb hdd au zaidi 2gb ram au zaidi DvD rw wifi webcam 3hrs batry au zaidi Dell/hp/acer/samsung. hata min nitachukua ila isiwe na scrach...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina milioni moja nifanye biasha gani hapa jiji la Dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toyota Prado station wagon, 3.0 IKZ Diesel engine iko katika hali nzuri,inatembea na ni automatic.Inauzwa kwa bei ya kutupa ya milioni kumi na nne(14,000,000/=).Mmiliki ni raia wa kigeni.Bei...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nyumba ya chumba kimoja chenye master bedroom, sebule, jiko, dining hall, parking, inapangishwa maeneo ya makumbusho na ni nyumba nzuri sana kwano bado mpya Bei yake ni shilingi 300,000/= kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei ni laki 2 na 70 maelewano yapo call 0713532322 niko dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Laptop Window 7 mpya inauzwa kwa Shs. Laki 6. Serious buyers naomba wani-contact through 0684 599 704 au ni PM. Thanks
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitaji maeneo mbele ya ubongo na nyuma au magomeni.... Iwe ni standard na bei ya kawaida... Naomba hata kama una namba ya dalali maeneo hayo niPM asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2014 ndo huo uko mdomoni, je utaumalizaje? Wengi wetu mwaka 2013 ulikuja na hatukufanya chochote cha kuleta tofauti sana. Nikukaribishe kuungana nami ili nikuonyeshe namana ya kuufanya mwaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama ni new brand (kwenye box lake) bei iwe reasonable au bei ya dukani Kama ni used basi lazima iwe kwenye condition nzuri NOTE: Rangi ya simu ni lazima iwe ya njano (yellow color) Nipo Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…