Wana JF, nauza blackberry bold 9900 touch screen na keypad smartphone. Screen yake scratch resistant haikwaruziki hata uiweke na coin au funguo, camera yake ni 8MP inatoa picha safi na nzuri...
jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani...
wana jf habari za saa hii.
nauza sim tajwa hapo juu
ni nzima na ipo ktk hari
nzuri....
12gb na 1 gb of ram......
kwa anaehitaji aniwasap au sms 0654715457
Wana Jamii habari za Jumamosi! Nauza vitu vifuatavyo, kwa mwenye kuhitaji, 0717210880:
Piki piki au Boda boda, hii imetumika, ilinunuliwa mwezi June, 2013, ipo ktk hali nzuri na inaendelea...
Wakuu heri ya mwaka mpya!
Nauza magari townace na Suzuki cultus. Bei mil 11 yote mawili.
Townace details:
Maker: Toyota
Model: Townace
Transmission: Automatic
Mileages: 108000km
Seat...
Ni used Dell Inspiron 1545
intel celeron 2.0ghz
160gb hdd
2gb ram
DvD Rw
wifi
webcam
windows 7
15'6 Led screen
4hrs batry
bei 350,000;=Tshs
nichek 0716-844978
Used dell CPU used bado ipo safi kabisa haina shida yoyote. Ina specificaton zifuatavyo: Model: Dell optiplex 170L Ram: 512GB HD:80GB Processor: 3GHZ Txt 0656063933 or READ MORE HERE DOUBLE (A)...
Habari zenu kwa mpigo
natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie...
PM kwa mawasiliano zaidi.
NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha...