Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza tablets tajwa hapo juu ni mpya boxed ,zinatumia simu card, niko mbeya bei laki 350 namba yangu ni 0757464746.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
processor 1.86Ghz, memory capacity RAM 1GB Harddisk 60GB ni used one bei 60,000
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wana jamvi, nipo Zanzibar nauza Samsung Galaxy S3 Original rangi nyeupe 450,000. iko ktk hali nzuri sana! kwa aliekua serious tuwasiliane 0717 701778. thnx
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam wana-JF, Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu. Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa. Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu mambo vipi? naitaji toyota verrosa ambayo sio D4 na kilomita zake haizidi laki moja... mwenye nayo ani pm au aweke picha na maelezo yake hapa
0 Reactions
0 Replies
891 Views
wandugu Sony Xperia Ultra inahitajika. weka taarifa zako zote ha kama ni muuzaji.
0 Reactions
0 Replies
822 Views
HUAWEI ASCEND Y300 WCDMA Mobile Phone 4.0-inch WVGA 16M TFT Capacitive Touch Screen 5.0MP Camera with Autofocus and Flash Dual-core 1.0Ghz CPU AndroidTM OS 4.1 HSPA/WCDMA Fast Boot. Utapewa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wandugu wapi ntapata Briefcase leather kwa bei nafuu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza lain yangu ya mpesa.nimeamishwa kikaz.nauza lak na nusu.kwa atakayehitaj anitafute kwa 0712620078
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nokia 306 mpyaa.. BEI::120000.. INA WHATSAPP.. INA VIFAA VYAKE VYOTE HAIJATUMIKA HATA MARA1.. 0765050591..
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Year: 2002 Milleage: 98000 1490cc Full paid insuarance n road licence Autolocking system Full a/c AM/FM radio/ CD player Bei 9.5mil negotiable 0716398757 Serious buyers
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inote beyond smartphone duos brand new in box charger usb cable manual earphones 8GB memory cover case 1 year warranty price 180000tsh call 0713388226
0 Reactions
19 Replies
6K Views
OFA MAALUM YA MODEM YA 3G YA VODACOM KWA AJILI YA INTERNET. Ndugu Wakala,mfanyabiashara,wanafunzi, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali, Je unahitaji modem kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta eneo lililopo mabondeni au lisilo bondeni lakini liwe tambarare - eneo lenye rutuba. Lenye ukubwa usiopungua ekari 2 (2-10). Nataka nipande nyasi za ng'ombe. Eneo lenyewe liwe vijijini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iphone 5 inauzwa black bei 800,000/= Kwa mawasiliano zaidi piga au txt 0764887013 au whats app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza laptop hp core i3 hdd 450gb,ram4gb bei laki 3.5 nipm tufanye biashRa bt chargi ya laptop haikai kabisa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ipo Zanzibar mtaa wa Nyarugusu karibu na uwanja wa mpira Kimara,jirani na shule ya msingi Kinuni. Imejengwa nusu vyumba 3,jiko,choo,ina maji ndani,umeme haina haja ya nguzo,. Bei maelewano
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tumia mitandao unayoipenda kama JF, Facebook, Google au mtandao wowote mwingine huku ukiwa unalipwa na Perfect Internet kupitia mradi wa Perfect App. Kuchangamkia fursa hii ambayo iko wazi...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Nauza piki piki - boda boda, iko poa bei na bei nzuri! kama vp ni-pm for more details!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…