Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama nilivyosema hapo katika tittle hiyo ndiyo ofa yangu, simu iwe ni smartphone android( tecno m3, huawei y 300) na aina nyingine ila iwe ni version ya 4 na camera ya 5MP na kuendelea. kama ofa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari inauzwa iko kwenye hali nzuri. Bei 20mil
2 Reactions
11 Replies
2K Views
nipo lusaka kwenye tarehe 10 nitakuwa mbeya. walengwa hapo juu nina mashine 2 za kunyolea nywele moja orijino na hii nyingine ni zile za kawaida ila sifeki. nauza 70000 na 35000 anayetaka anijulishe
0 Reactions
2 Replies
986 Views
NEXT GENERATION ENT. CO LTD WALIOPO KATI YA MTAA WA LINDI/LIVINGSTONE, DAR-ES-SALAAM, TANZANIA NI WAUZAJI WA PRINTER ZA KISASA ZAIDI AINA YA HP PHOTOSMART C6180, C7200 PRINTER HII INA UWEZO...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 30m×25m. kiwanja kipo salasala njia ya kwenda kinzugi karibu na "mnanga bar". Bei ni million 95, aliye tayari ani PM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina kiwanja changu sqm 850 kigamboni gezaulole , eneo limejengeka vizuri na nyumba za maana, barabara zimeshachongwa na wanamtaa, tayari watu wameshajenga nyumba za maana na wanaishi..sitaki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau habari za saa hizi....kichwa cha habari kama kinavyozungumza nauza htc one used kwa 650000/- tunaweza kuongea kidogo kuhusu bei....nimetumia kama miezi 3 ipo kwenye hali nzuri haijawahi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza king'amuzi cha startimes kwa bei tajwa hapo juu kwa mkazi wa mwanza.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mikocheni ukubwa ni sqm 1500 maeneo ni kwa Warioba kina Document zote ikiwemo hati. kwa mawasiliano 0773 944 944
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Mikocheni ukubwa ni sqm 1500 maeneo ni kwa Warioba kina Document zote ikiwemo hati. kwa mawasiliano 0773 944 944
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu msomaji kama kichwa cha habar kinavyojieleza nauza ticket ya usafiri wa ndege kutoka dar es salaam kwenda london wingereza Hii tiket nilishinda kutoka kampuni ya ndege ya klm kupitia page...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Mikocheni ukubwa ni sqm 1500 maeneo ni kwa Warioba kina Document zote ikiwemo hati. kwa mawasiliano 0773 944 944
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari gani wakuu? Nina Gari aina ya OPA nayouza kwa milioni 6. Ni ya mwaka 2002, Haina tatizo lolote la kiufundi, Namba zake ni BEX na ina vibali vyote. Pia mazungumzo yapo kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unafahamu kwamba unayo fursa ya kuanzisha biashara yakoambayo ina uwezo wa kutengeneza kipato kuliko kampuni nyingi unazozifahamu bilakugharamia mtaji wowote? Fuatilia fursa hiyo hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Sony Xperia E brand new from UK, bei 360000 nipo dar, Please phone me on 0714 674687
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Jamani mwenye fremu au anafahamu mwenye fremu ambayo iko mwenge mpaka makumbusho anicheki nataka kufungua studio ya video production...ikiwa two in one itakuwa safi zaidi...nitafute kupitia 0713...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauza Toyota Opa,ipo katika hali nzuri sana.Imeingizwa TZ may,2013,full AC,Air bag,Navigation system,CD/DVD player.haina tatizo lolote kama mpya vile,imetembea km 136000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX): Vyumba vitano ila kimoja kinachoo chake (Five rooms including Master) Sebule ya Chakula (Dining...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye caravan Nina tenda ya watoto WA olympio nataka niwe namlipa kwa wiki 250,000/= lakini naomba iwe gari liwe automatic mi nipo Dar nipigie 0714064767
0 Reactions
8 Replies
1K Views
New indian restaurant opened at new safari hotel arusha. Its a good restaurant with full of indian food that you can enjoy with your family and friends. For more information call 0789 543 339
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…