na huku biashara zetu zipo ki technology zaidi na uwe na detail unapofanya biashara kwa nini tunakuwa wagumu kubadilika , kiwanja kinauzwa so what hamna bei ina maana mpaka leo hujui online marketing inafanyikaje ? tubadilike huoni wajapan wakitangaza magari yao wanavyofanya ,unapoamua kuingia kwenye e-market ujipange
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.