chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,088
- 1,026
Ndugu msomaji kama kichwa cha habar kinavyojieleza nauza ticket ya usafiri wa ndege kutoka dar es salaam kwenda london wingereza
Hii tiket nilishinda kutoka kampuni ya ndege ya klm kupitia page yao ya fb xo kwa kuwa mi cna uwezo wala ndugt wa kwenda kufikia huko imenibd niuze ili niweze kuendelea na masomo yangu.
Bei ni milioni tatu na nusu. 3.5 milion