KAMPUNI WA MARKETING (Wanayo husisha kwenye matangazo za barabarani) nitawapata wapi ?
Sasa hivi niliona matangazo kama za NMB Bodaboda na zingine, nani anazi fanya ?
Nauza cm aina ya blackberry curve 8530 ipokatika hali nzuri pia haina tatizo lolote bei 90000 cash bila mia kupungua aliyekuwa serious anicheki kwa no 0713943432 npo dar
NYUMBA ISIYOMALIZIWA AMBAYO IMEJENGWA KOZI NNE IKIWA NA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA, SEBULE KUBWA NA STORE.IPO VISIGA MADAFU KIBAHA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD,ENEO LAKE ROBO HEKA LINA HATI YA...
Magari hayo hapo yako katika hali nzuri sana yanatembea. Yapo Morogoro mjini. Escudo Bei ni Tsh 6 milioni na hiyo Mark II Grande bei ni 5 milioni.
Escudo: 5 door,engine ni 4 cylinder, Automatic...
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO GIZMOTECH STORE LIMITED®
GIZMOTECH STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!!
We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia...
Ninatengeneza website kwa kuanzia shilingi laki mbili tu, hii ni pamoja na registration na hosting ya mwako mmoja.
kama uko na bishara na ungependa kuwa na website yako basi niPM...
The room has a bathroom and shower in it.It goes for 250,000/month,payable in 1 year's rent but negotiable with owner for 6 month's rent.My commission is 200,000 .FYI ,I live in it and moving out...
1.Kiwanja kipo boma road kama mita 150 tokea msikiti mkuu wa Morogoro mjini.Kina SM 400 a kimezungushiwa ukuta.Bei ni Mil 140
2.Nyumba inauzwa ipo Misufini.Inavyumba 9 na inanafasi ya larking ya...
Nauza Microwave ya aina ya Samsung, bado ni mpya nimeitumia miezi mitatu tu.
Naiuza kwa dharura kutatua tatizo fulani ambalo nahitaji kulitatua mapema.
Bei ni Tshs 140,000/=
Unaweza...
Habari zenu jamani,
Naomba msaada natafuta chumba self contained mitaa ya kipawa,jeti,mombasa,banana. njia ya kwenda gongolamboto Dar es salaam.
tafadhali naomba msaada
Asante
KIWANJA KINAUZWA KIPO MBWENI MALINDI BLOCK B SQM 840 MKABALA NA OCEANIC VIEW RESORT (KINONDONI- DAR-ES-SALAAM). Bei ni TZS 90,000,000/= kodi kwa mnunuzi. kwa mhitaji pls ni-PM or Call 0653884466...
Wakuu
nina toyota brevis cc 2500 rangi ni pearl ipo sokoni
namba ni t 214 cth, beni ml.12.5 tu
ipo dar es salaam, kwa aliye serious anitafute kwa namba 0784 160 421
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.