Habari ndugu zangu,
Tukutane hapa kwaajili ya maulizo ya magari Kwa Bei Poa kabisa na pia kuuliza swali lolote kuhusu magari
Kwa maulizo madogo madogo tunaweza wasiliana Kwa 0777994134
Kwa mfano...
2002 Toyota Rav 4 · Suv ·
Rav4 special edition
England version
Engine 2Az ni mpya imebadilishwa toka 1Az
220km/h
Sunroof available
Full documentation
,arusha
9.8million
Whatsapp / call +255655402364
Toyota Ist
Reg# DL
Y.O.M 2004
Mileages 81004km
Engine 2NZ
Cc 1290
Full Ac
Sports rims & good tyres
With music systems
All duties and tax payed
Price: 8milion
Exchange with car + cash ALLOWED...
2006 NISSAN PATROL
Price Tshs. 30 Million
Engine TD42
Manual, 4000cc Fuel Diesel
Gari ya kazi kazi
In Very Good condition.
Imetunzwa vizuri mnoo
Mazungunzo kidogo yapo.
Whatsapp/call: 0744336336
TANGULIZA 9MILLION PEKEE
KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN
1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE.
2.UTANGULIZI WA...
Make: nissan
Model:xtrail
Engine: yd22 common rail
Capacity: CC 2184
Fuel:diesel.
Price:10M
Transmission: manual(gear 7)
SPEED: 220 KM/HR
SABABU ZA KUUZA.
nimehamia shamba huku naona kama naitesa...
Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina...
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF
Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam
Ni 4 Wheel Drive
Ya Mwaka 1996
Imetembea KM 276,907
Bei Tsh.9,100,000
Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014
Asanteni
KWA MIL 9 PEKEE MILIKI RUMION KALIII HUKU 9MILLION INAYOBAKI LIPA KIDOGO KIDGO KWA MTINDO WA MAREJESHO YA MWAKA MZIMA
TOYOTA RUMION
Model: 2008
Stock No: 0090
Engine Capacity: 1490CC
FEATURES...
BEI 11.8 MIL [emoji336]0715002270
SUZUKI SPLASH (DQX)[emoji91][emoji91]
YEAR 2008
Cc 1240 [emoji736][emoji184]
MILEAGE 129,000km
ENGINE K 12 B
FUEL PETROL [emoji618]️
TRANS,AUTOMATIC
NEW TYRES...
Salaam wakuu,
Nauza gari aina ya Pajero GDI.
Ya mwaka 2002.
Rangi ni nyeusi.
Namba B.
Cc 1500.
Bei 5 million.
Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.