Kwa yeyote mwenye mtambo wa kuprint t shirt naomba ajitokeze hapa tuangalie uwezekano wa kufanya biashara,n haraka sana wakuuuu nataka iwe leo makubaliano kesho kazi ianze.
Nawasilisha wakuuu...
Habari,
nawaletea machine ya kunyolea..
used kitambo, ipo inapiga mzigo fresh,inahitaji minor service kama kuwekewa mafuta na kukazwa nati..
bei 35k
0787 40 8180
Jambo hili limesemwa na wamiliki wa WhtaApp. Mimi wamenishawishi.Je. Unakubaliana nao?
Why we don't sell ads
Brian and I spent a combined20 years at Yahoo!, working hard to keep the...
Toyota Ist and Rav 4 for sale ,in Excellent condition, Rav4 14 mil negotiable price and Toyota Ist 9,5mil negotiable for more information contact 0713 95 92 90
Ngugu wana Jf
Kwa wale watumiaji wa simu za simart phone ninazo power bank ukubwa na bei ni kama ifuatavyo. 12000mah utapata kwa sh. 45000 na ya ukubwa wa 14000mah utapata kwa sh.55,000 ina...
Ndugu,
Nahitaji vibanda vya biashara kwa kupanga(kukodi) ktk miji ya Dar, Mwanza, Mbeya, Mtwara na Arusha.
Kwa vile vibanda vya mjini ni most wanted,
kama ni dalali/mmiliki/mtoa taarifa unaweza...
Wana Jf..ninapack majib ya kunywa ya lita 20....kwa shilingi 4000 na deliver popote majumbani na maofini kama unahitaji please nichek kwa whtspp namba ni sahihi japo kuwa si ya tanzania...
Natoa
ofa ya Tshs 10,000 kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa dada mmoja
jina catheline.Huyu alikuwa anapigisha simu kibanda cha simu pale
stesheni ya treni pale shinyanga miaka ya...
tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia
website ina muonekano mzuri kwenye desktop...