Kiwanja cha mil. 1 DSM

Kiwanja cha mil. 1 DSM

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Masikini tuna shida. Nina Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga.
 
Kama itafika angalau mil.2 kipo 20x20 Madale kwa Kawawa.
 
Masikini tuna shida. Nina
Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba
vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga.

Njoo uchukue heka moja Kigamboni Mwasonga, ardhi nzuri Kwa matikiti, viazi vitamu, bamia na maji yako karibu.
Pia Ukichukua utaweza kufanya ufugaji ili kupunguza ukali wa maisha.
 
ni pm kuna kiwanja kinauzwa mill 1.5 huku mbagala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom