Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
Wakuu natafuta shamba maeneo ya kigamboni.
- Eneo lolote kigamboni.
- Isiwe chini ya ekari tano
- isiwe zaidi a km 40 kutoka feri
Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja na bei yake
Asante
- Eneo lolote kigamboni.
- Isiwe chini ya ekari tano
- isiwe zaidi a km 40 kutoka feri
Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja na bei yake
Asante