Hii ni nyumba kubwa iliyoko mandu MWANZA.ukiwa unatoka mwanza mjini unaelekea igoma shukia MWATEX fuata barabara inayoenda mahina fika njia panda ya mandu utaiona mkono wa kushoto,itauzwa Kwa njia...
Wakuu kazi nilizozitangaza kwa vijana wasiokuwa na elimu kubwa imeanza baada ya kumchukua kijana kutoka kijijini, sasa naomba mwenye ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku wa nyama na mayai aniPM...
BM Impex, wananunua mbaazi kwa bei inayomnufaisha mkulima.
Uza mbaazi zako DSM kutoka mkoani kwa bei zifwatazo.
Mbaazi za Arusha sh. 1000@kg.
Mbaazi za Mtwara sh.900@kg.
Wasiliana moja...