Habari wadau,nauza Suzuki escudo milango 3,cc 1600 bei m7.
Nashindwa kurusha picha kwa sababu natumia Simu haina uwezo wa kupost,lkn kwa anaetaka anipm namba zake nimrushie picha whatsapp.
Tunauza vifaranga vya samaki wa aina ya sato. Bei ni sh300 kwa kifaranga. Hawa wanafaa kwa ajili ya uzalishaji wa vifaranga for commercial use. Tuna vifaranga zaidi ya 100,000, hii mbegu ni ya...
nyumba ndogo yenye ukubwa wa vyumba viwili .maji na umeme vipo .kiwanja kina ukubwa wa mita 30 kwa 40 pia kuna greenhouse yenye nyanya tayari ukubwa wa greenhouse ni mita 10 kwa kumi
eneo ni...
HARD DISC 600
RAM 4GB
PROCESSOR CORE i3
best for grphic desgn,editing video ,music and home uses
nipo dar
bei 550,000
nimeshindwa kuweka picha mtandao unazingua nitawarushia whatapp au...
mwenye ufahamu juu ya duka linalouza kwa bei nzuri pamoja na Bei au gharama ya vifaa kama power window main na zile za kawaida, spear tyre zile tairi ndogo, redio, jeki, vyote vya gari ndogo aina...
Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne,chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo.
Ina uwanja...
Jamani mwenye updates yeyote ya yale mashamba viwanja vya Fukayosi ile project ya kkkt mwenge naomba anijuze juzi jumapili sikuweza kwenda kwenye kikao pale mwenge kanisani sijajua waliongelea...
Ni HP 6375s iliyopo katika hali nzuri na hard disc ya 150GB. Inakaa na chaji kwa zaidi ya masaa 2 na nusu, pamoja na RAM ya 1GB inayoweza kuongezwa. Haijawahi kusumbua, naiuza kwa kuwa nishamaliza...