Wanting to buy an apartment with 3 or 4 bedrooms at a reasonable price either East Upanga or west Upanga. Financing is in place....just need to find the perfect home.
Contact 0784225000
Macbook white ya mwaka 2008, ina ram ya 3gb, hdd180, proc 2.1, ina window 8 na mac os 10.7.5.
Used bt in good condition. Price 550000 tsh, my cont. 0769038065
1. wireless PIR (Motion Detector),
faida: Hii itakusaidia katika usalama mali zako, garage, Nyumbani, vituo vya ujasiliamali vilivyombali hususani wakati wa usiku. Ikitokea mtu au kitu...
Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne, chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo.
Ina uwanja...
Wadau ninaomba msaada. Laptop yangu imepasuka screen so, nataka ku-replace. Nauliza kama kuna anayefahamu sehemu ambayo wanauza screen na ku-replace at affordable price hapa Dar es salaam. My...
Dippub na wengine
Hembi nipe data kama kuna nyumba ya kupanga maeneo ya Tabata Chang`ombe kwa mwezi 250,000.
Vyumba vitatu au Vinne, fenced.
Optional:-
Inaweza kuwa hata banda la vyumba idadi hiyo...
Kipo Kigamboni, amani gomvu
kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700
kiwanja kimepimwa na kina bicons kipo nyuma ya apaetmnts za sofia simba, sqmt 1 ni sh 10000, mazungumzo yapo..
akataye hitaji...
Habari wakuu, nahitaji commercial oven iwe ya umeme au gesi , deki moja, used au mpya, bei maelewano.Nikipata ya kukodi kwa miezi miwili itakuwa poa pia.Thanks..Ni pm
1. Iwe Mikocheni B. Iwe na vyumba viwili au vitatu vya kulala. Bajeti USD 1000 Kodi kwa mwezi.
2.iwe Msasani, Iwe na vyumba viwili vya kulala. Bajeti US $ 500 kodi kwa mwezi.
Ukiwa nayo...
Jipatie simu nzuri kabisa za Blackberry Curve 9320 na Blackberry Bold 9780 kwa bei poa ya elfu 90 kwa kila simu. Simu zote zipo katika hali nzuri kabisa na kila moja ina charger yake na headphone...
Natafuta frame kwa ajiri ya bishara ya vinywaji (pub,grocery au min bar) nitafurahi zaidi nikipata mitaa ya kipawa,airport,banana,majumba sita,njiapanda ya segerea au Mombasa ....
Nawasilisha...