P. Mashine yangu imeeandika error 000733000 na NImeambiwa kuwa Dc controller imeungua hivyo wenye spare hiyo au duka linalouza tuwasiliane. Maexpert wote karibuni kwa ushauri.
Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali
Ni Ya Kuchaji
Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu
Haina madhara kwa binadamu,
Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48
haina gharama...
Habarini za leo wakuu? natafuta nyumba ambayo naweza kuifanya office
Sifa za nyumba, iwe inajitegemea, iwe barabarani(iwezwe kuelekezeka, na iwe wilaya ya kinondoni(kawe chini, Mbezi Beach...
VIWANJA, VIWANJA.
viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na...
Habari wadau,
Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media...
Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba...
Habari!Karibu Tongilo Trust solution wauzaji wa viwanja vilivyopimwa na unqkopeshwa bila dhaman yeyote. Unaruhusiwa kulipa Kwa awamu.
[emoji1753]PATA BEACH PLOTS Kwa Million 6 Tuh (Installments 12...
Habari za leo!
Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana:
1. Meza kubwa moja (imported)
2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka
3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi...
Habari wana JF
Katika karne hii ya sasa bila elimu ya Technolojia flani itakuwa ngumu sana kufanikiwa kwani dunia yasasa ni ya kidigitali zaidi kwaio hutakiwi kupitwa na elimu ya technolojia kama...
Habari wakuu
Nauza vifaa vya saloon ya kike kwa ajili ya kucha na kutengeneza nywele ,vifaa ni bado vipya kabisa . Location Kinondoni Dar es salaam.
Contact/namba;0623524725
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji.
Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie...