Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili...
Nahitaji kiwanja kama kichwa cha habari usiki. Maeneo ya Chamarambe,chamazi, mwisho Adam complex please. Bei ahhh from 3m please inaongezeka kama kitakizi matakwa.inbox me please hama niachie...
Wakuu,
Yeyote anayejua tafadhali naomba anijuze. natafuta mabanzi kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo shambani kwangu. Tafadhali suppliers mniambie yapo wapi na mtaniuzia bei gani kwa kila...
I'm looking for a fan and keyboard replacement for my hp pavilion 15 laptop. This is a Tech & gadget forum, so I hope I will get an immediate response than in other forums. Thanks
For sale:
Passo
Color pink,
T736 DAL
Cc 990,
5passenger seat,
Year 2005,
Insurance: Comprehensive,
Price: 75 million
Number: 0713 590607
Picha zinagoma kuwa attached hapa.. Kwa serious...
Nauza vitu tajwa maisha ya mjini yamenishinda naenda kijijini ukitaka kuona vitu 0766786620 whatSaap kwa picha
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Napenda kununua vitu vya zamani ,ni vitu vya aina mbalimbali napenda vya kuanzia vya miaka ya 70 na kurudi nyuma,kama kuna sehemu unaijua tafadhali naomba maelekezo kupitia hapa hapa jukwaani.
Habari,ninahitaji gari yoyote ambayo iko kwenye hali nzuri na bei yako ya kuuzia isiwe zaidi ya milioni 5(hata ikiwa chini ya hapo c mbaya). Gari isiwe saloon. Nitafute kwa 0763969066. Waweza...
Nyumba inapangishwa ipo kipunguni A 2km kutoka Banana Ukonga.
Ina vyumba nane haina master ila ina choo ndani, marekebisho machache ndani ya wiki moja tu kwasababu ilikuwa imepangishwa...