Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu! Nauza vifaa vifuatavyo: 1.Canon photocopier mashine ,model Ir1600,ni used na ipo katika hali nzuri sana. Bei ni tsh 1Million. 2.Rico aficio 3045 photocopier mashine, ni used na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar za saa hiz wanajamvi. Nahitaji simu tajwa hapo juu na iwe kwenye hali nzuri.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hizi ni aina ya spy camera, baadhi ya hizo zina uwezo wa kuchukua video na picha. Ikiwa Hd. Hizi zote zinachukua video, baadhi na picha. Kama unavyo ona unaweza kuunganisha na simu yako kwa wifi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nipo dar es salaam ni Fundi computer mzoefu kwa kurekebisha matatizo mbalimbali ya laptops na desktops kwa upande wa hardware na software nipo Kariakoo msimbazi pia Nina unlock modem zote za...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
sasa ipo arusha lake oil karibu na mianzini karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu mwenye nacho anipigie 0717079201
0 Reactions
4 Replies
2K Views
16GB silver IPad mini 2 with cellular, for sale at 850,000 tsh.used for 4 weeks, it is in a very good condition. Wahi sasa call or text 0755333900
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Ni njia ya kwenda mabwepande,karibu na mji mpya wa mpiji magohe,kwa kuingilia bunju.vyote ni squattered(havijapimwa) Kuna, Heka 1;bei milioni 15 Heka 2;bei milioni 25 Heka 4;bei milioni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu wangu kuna DAWA YA KUSAIDIA KUPATA UJAUZITO (WANAWAKE & WANAUME) DOZI NI GLASS 1 YA MITISHAMBA unakunywa mara 1 tu na unasubiria mpaka mwezi upite au miwili wakati mwingine. Imefanyiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mshindi wa kwanza kashapatikana kutoka zambia bado magari 24 kila mtu ana nafasi ya kuwa mshindi jiunge sasa. SIKU 25 NA MAGARI NI 25join this to win a car,every one has a chance of being a winner...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta passo ya 2005 rangi ya pink mil 5
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama uko Dodoma kamata huawei y300 kwa shilingi120000.....simu ina features nyingi kama vile ROM 4GB,RAM512MB.....front camera na primary camera ambayo ni 5MP....kamera bora sana kwa smartphone za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Brand new Samsung Galaxy SII & SIII for sale. SII-300,000/= SIII-400,000/= BEI INAPUNGUA / PRICE NEGOTIABLE CALL / PIGA +255688199349
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Inahitajika gari hiyo kwa Tsh 4.0 Mil Engine : Any with CC ~ 2000 Colour : Any Transmission : Automatic Kilometers : Any but not exceed 200,000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wana jamvi Naitaji simu twajwa hapo juu Iwe ktk hali nzuri. Npo dar mwenyenayo weka number yako nikupe ela faster ya weekend. Karibuni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, natafuta Gari tajwa hapo juu. Bajeti yangu ni kati ya 6,500,000/= hadi 7,500,000/= kulingana na hali ya gari. Pia iwe na vigezo vifuatavyo: YOM: 2000 Odometer: Less than...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kunitengenezea posters za kampeni 250 hivi za rangi kwenye size a4,piga 0717 757021 haraka,niko dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mkopo wa millioni 8, nitazirudisha ndani ya wiki 2,au kabla ya wiki mbili....nina jambo la haraka, ninaweza kuweka dhamana ya kadi ya gari,au ukakaa na gari kabisa, lakini pia utakuja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanasema ni zawadi ya Christmas, wameshaanza kutoa Jaribu kufuata link hii 25 Car Xmas Giveaway | All I Want For Xmas | BE FORWARD
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Used TOYOTA Land-cruiser/Prado, 1991 model Model: Q-LJ78G-MET Engine: 2L-TE - 2446 cc (Turbo diesel) Transmission –Manual (Stick Shift) Frame: LJ78-0020579 Colour: 183 The car is duty paid...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…