Wakuu hbr zenu,kwa yeyote anayejua kuhusu upatikanaji vitofari hivi vidogodogo vya kuungana(interlocking blocks),pamoja na bei zake, au muuzaji anijuze no yangu 0657617861.
Wadau kiwanja kinauzwa jirani kabisa na chuo kikuu cha dodoma upande wa ng'hong'hona.
Ukubwa: kinakaribia nusu heka
Bei: Mil 6 -Maelewano yapo.
Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi...
Kiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa 40,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme imesimikwa jirani kabisa na kiwanja,kipo kwenye maeneo ya makazi ya watu...
kiwanja na nyumba hiyo haviko mbali na barabara kuu ya kwenda itobo na kipo kwenye hali nzuri ya kuridhisha kabisa!
bei ni 22 million
kwa mawasiliano zaidi na kuweza kuiona nyumba hyo nicheki...
Kuna maeneo mazuri sana kwa makaazi,shule,mashamba,ufugaji,chuo zinauzwa yapo ilala Msongola ...wahi kuchukua ya kwako kipimo ni kuanzia 40ft kwa 50ft bei ni 2.5 milion unaweza kununua tani...
The online remittance services established in 2013 by the People's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd) in collaboration with a UK company called WorldRemit for the purpose of enabling Tanzanians in...
Wadau kiwanja kinauzwa Tegeta Nyaishozi, jirani na Nyamachabesi Bar. Ukubwa ni sqm 800, bei ubwete meza ya mazungumuzo iko wazi. Kimepimwa na kina document zote za msingi. Kwa mawasiliano piga...